Askofu Benson Bagonza: Tumeamua kumuomba Mungu kama Taifa, kweli tumuombe Mungu na siyo kumtukuza au kumsifia mwanadamu yeyote


Hili ni tatizo la kisayansi zaidi na sio la kiroho, kwa hiyo baba askofu anatueleza kuwa mambo ya sayansi ni tough zaidi ya uwezo wa mungu, kwa hiyo tunapaswa kuogopa sayansi zaidi ya mungu maana mungu haiwezi sayansi, kwa hiyo mbeleni tutaacha kumuabudu mungu bali tutaabudu sayansi ona uwezo zaidi, kwa hiy baba askofu anaamini sayansi ina nguvu kuliko mamabo ya kiroho ya mungu mungu, basi sawa, tunapo pambana na corona tutmie maarifa na uwezo wa akili zetu, maana hili halimhusu mungu.
 
Miaka zaidi ya 50 ya kumuomba mungu na bado Afrika ni masikini wa kutupwa...there is something terribly wrong with our religion or our god.

Kuomba ni upuzi Kila mtu ajitegemee kwa kutumia 5 common sense. Hawa maaskofu na makasisi wanakula jasho ya masikini waafrika wenzao na hamna matunda yatikanayo na "kuomba" ila umasikini.

Waliotuletea dini hizi hawaziamini na kuzifata huku Nchi zao pamoja na watu wao ni matajiri, zikiwemo Japan, China waliamua kutumia 5 common sense wakati waafrika na ujinga wao wanakimbilia kanisani "kuomba''. Tutapuuzwa Hadi lini na the rest of the races? We ought to put our sh#t together.
 
Na kweli huyu jamaa ni mpuuzi sana hadi anakera. Nina kila sababu ya kuamini kuwa huyu mtu analipwa kwa kupotosha humu. Natamani kweli moderator ampige burn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
How do we put our sh..t together when the presidency in African countries is an opportunity kua chokoraa uliyeshindikana wa kuchakura na kuokota na kujilimbikiza mali?

Ni ngumu. Tunalaumu dini lakini ukweli tatizo lipo kwenye mifumo ya kisiasa.
 
How do we put our sh..t together when the presidency in African countries is an opportunity kua chokoraa uliyeshindikana wa kuchakura na kuokota na kujilimbikiza mali?

Ni ngumu. Tunalaumu dini lakini ukweli tatizo lipo kwenye mifumo ya kisiasa.
Dini ndio pazia inayotuzuia kuona upande ule mwingine ambao ni wa siasa za kibepari zinazochangia ukosefu wa maarifa na hekima kwa watu masikini ambao ndio wengi bara hili letu la Afrika.
Wanasiasa nao wana-take advantage na kumkandamiza maskini zaidi kwa kutompa maarifa ya kujikwamua toka kwa hali hiyo. Politicians have all the solutions to our problems but they are not willing to help us.
 
 
... they are not willing to help us kwakua wako bize kumaster uchokoraa wao.
 
Aliyewapa haya majukumu huku mitandaoni sina hakika kama aliwapa na muongozo wa namna ya kuchangia hoja mbalimbali zitolewazo huku. Huwezi kuwa mtetezi wa Chama na Serikali kwa kutoa mawazo ya kipumbavu kiasi hiki.
Unaweza kujiona unatetea Chama kumbe ndo unazidi kukichafua. Jifunzeni kutumia akili katika kujibu hoja hasa mnazofikiri ni za wabaya wenu. Huwa mnafanya tathmini ya matokeo kazi hii mlopewa?
Km anaona wivu watu kutukuzwa na yeye aingie kwenye siasa aone km atapata kyra

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alikufundisha dini huondoa umasikini? Kabila lako linakusaidiaje katika mapambano dhidi ya umasikini? Hao Wachina unaowasema sio kwamba hawana Dini, bali walichagua kufuata Dini zao na sio Dini za kuletewa.. waliopeleka hizo Dini baada ya kushindwa kupenya China, wakaja na hadithi za China hawatoi Uhuru wa kuabudu, kitu ambacho ni uondo. Iwe Africa ama Ulaya, Dini haiondoi umasikini.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…