Askofu Benson Bagonza: Tumeamua kumuomba Mungu kama Taifa, kweli tumuombe Mungu na siyo kumtukuza au kumsifia mwanadamu yeyote

Asante Baba Askofu Bagonza.

Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo.

Mungu akutunze baba yetu.

=======

Anaandika Bagonza ( PhD)

CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE

Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza haya:

1. Mungu haongei nasi kutumia Corona. Tunaalikwa kuongea na Mungu kwa tishio la Corona.

2. Katika vita kuna kujilinda na kushambulia adui. Tumesikia mbinu nyingi za kujilinda na chache za kushambulia Corona.

3. Tutangaze tunapofunga goli na tunapofungwa. Hofu ya kufungwa inaongeza mbinu za kujilinda. Watu wakiona na kusikia habari za watu wanaowajua, wataelewa kirahisi hatari inayotukabili.

4. Tuwalinde wachezaji wetu kwa gharama. Watumishi wa afya nchini kote, wapewe vifaa vya kujilinda na watengewe maeneo ya kukaa. Wasirudi majumbani.

5. Vifaa vipatikane na vijulikane viko wapi. Wenye uwezo wajinunulie na wawanunulie wasio na uwezo.

6. Visivyopatikana nchini viagizwe. Msamaha wa kodi utangazwe na ukiritimba wa kuviingiza uondolewe haraka. Mashirika yahanasishwe kuagiza haraka.

7. Tusitishe vyombo vya usafiri kutoka mkoa kwenda mkoa. Hivi sasa kirusi chaweza kuwa Ubungo asubuhi na jioni kikawa Kahama. Barabara nzuri na Bombadier hazisafirishi bidhaa tu. Hata virusi vinapata lifti.

8. Mashine za kupima virusi zipelekwe kila mkoa.

9. Elimu isisitizwe kuliko adhabu. Usugu wa adhabu utaongeza kasi ya maambukizi. Polisi wapige virusi, wasipige watu.

10. Tufunge na kuomba lakini tukumbuke Corona ni tatizo la kisayansi zaidi kuliko kuwa tatizo la kiroho. Tuombe, tusiombeombe.

Hili ni tatizo la kisayansi zaidi na sio la kiroho, kwa hiyo baba askofu anatueleza kuwa mambo ya sayansi ni tough zaidi ya uwezo wa mungu, kwa hiyo tunapaswa kuogopa sayansi zaidi ya mungu maana mungu haiwezi sayansi, kwa hiyo mbeleni tutaacha kumuabudu mungu bali tutaabudu sayansi ona uwezo zaidi, kwa hiy baba askofu anaamini sayansi ina nguvu kuliko mamabo ya kiroho ya mungu mungu, basi sawa, tunapo pambana na corona tutmie maarifa na uwezo wa akili zetu, maana hili halimhusu mungu.
 
Asante Baba Askofu Bagonza.

Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo.

Mungu akutunze baba yetu.

=======

Anaandika Bagonza ( PhD)

CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE

Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza haya:

1. Mungu haongei nasi kutumia Corona. Tunaalikwa kuongea na Mungu kwa tishio la Corona.

2. Katika vita kuna kujilinda na kushambulia adui. Tumesikia mbinu nyingi za kujilinda na chache za kushambulia Corona.

3. Tutangaze tunapofunga goli na tunapofungwa. Hofu ya kufungwa inaongeza mbinu za kujilinda. Watu wakiona na kusikia habari za watu wanaowajua, wataelewa kirahisi hatari inayotukabili.

4. Tuwalinde wachezaji wetu kwa gharama. Watumishi wa afya nchini kote, wapewe vifaa vya kujilinda na watengewe maeneo ya kukaa. Wasirudi majumbani.

5. Vifaa vipatikane na vijulikane viko wapi. Wenye uwezo wajinunulie na wawanunulie wasio na uwezo.

6. Visivyopatikana nchini viagizwe. Msamaha wa kodi utangazwe na ukiritimba wa kuviingiza uondolewe haraka. Mashirika yahanasishwe kuagiza haraka.

7. Tusitishe vyombo vya usafiri kutoka mkoa kwenda mkoa. Hivi sasa kirusi chaweza kuwa Ubungo asubuhi na jioni kikawa Kahama. Barabara nzuri na Bombadier hazisafirishi bidhaa tu. Hata virusi vinapata lifti.

8. Mashine za kupima virusi zipelekwe kila mkoa.

9. Elimu isisitizwe kuliko adhabu. Usugu wa adhabu utaongeza kasi ya maambukizi. Polisi wapige virusi, wasipige watu.

10. Tufunge na kuomba lakini tukumbuke Corona ni tatizo la kisayansi zaidi kuliko kuwa tatizo la kiroho. Tuombe, tusiombeombe.
Miaka zaidi ya 50 ya kumuomba mungu na bado Afrika ni masikini wa kutupwa...there is something terribly wrong with our religion or our god.

Kuomba ni upuzi Kila mtu ajitegemee kwa kutumia 5 common sense. Hawa maaskofu na makasisi wanakula jasho ya masikini waafrika wenzao na hamna matunda yatikanayo na "kuomba" ila umasikini.

Waliotuletea dini hizi hawaziamini na kuzifata huku Nchi zao pamoja na watu wao ni matajiri, zikiwemo Japan, China waliamua kutumia 5 common sense wakati waafrika na ujinga wao wanakimbilia kanisani "kuomba''. Tutapuuzwa Hadi lini na the rest of the races? We ought to put our sh#t together.
 
Ujinga unawatafuna wengi sana. Mimi ombi langu acha korona iwafteke watu wenye akili kama zako. Iwafyeke watu wasiojulikana. Iwafyeke anayewatuma wasiojulikana. Iwafyekee wale polisi wanaobambikizia watu kesi. Iwafyeke majaji wanaotoa hukumu zisizo za haki. Naimani ikiwafyeka watu wa namna iyo dunia itabaki na amani na watanzania kiujumla wataishi kwa fraha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli huyu jamaa ni mpuuzi sana hadi anakera. Nina kila sababu ya kuamini kuwa huyu mtu analipwa kwa kupotosha humu. Natamani kweli moderator ampige burn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka zaidi ya 50 ya kumuomba mungu na bado Afrika ni masikini wa kutupwa...there is something terribly wrong with our religion or our god.

Kuomba ni upuzi Kila mtu ajitegemee kwa kutumia 5 common sense. Hawa maaskofu na makasisi wanakula jasho ya masikini waafrika wenzao na hamna matunda yatikanayo na "kuomba" ila umasikini.

Waliotuletea dini hizi hawaziamini na kuzifata huku Nchi zao pamoja na watu wao ni matajiri, zikiwemo Japan, China waliamua kutumia 5 common sense wakati waafrika na ujinga wao wanakimbilia kanisani "kuomba''. Tutapuuzwa Hadi lini na the rest of the races? We ought to put our sh#t together.
How do we put our sh..t together when the presidency in African countries is an opportunity kua chokoraa uliyeshindikana wa kuchakura na kuokota na kujilimbikiza mali?

Ni ngumu. Tunalaumu dini lakini ukweli tatizo lipo kwenye mifumo ya kisiasa.
 
Dini ndio pazia inayotuzuia kuona upande ule mwingine ambao ni wa siasa za kibepari zinazochangia ukosefu wa maarifa na hekima kwa watu masikini ambao ndio wengi bara hili letu la Afrika.
Wanasiasa nao wana-take advantage na kumkandamiza maskini zaidi kwa kutompa maarifa ya kujikwamua toka kwa hali hiyo. Politicians have all the solutions to our problems but they are not willing to help us.
 
Miaka zaidi ya 50 ya kumuomba mungu na bado Afrika ni masikini wa kutupwa...there is something terribly wrong with our religion or our god.

Kuomba ni upuzi Kila mtu ajitegemee kwa kutumia 5 common sense. Hawa maaskofu na makasisi wanakula jasho ya masikini waafrika wenzao na hamna matunda yatikanayo na "kuomba" ila umasikini.

Waliotuletea dini hizi hawaziamini na kuzifata huku Nchi zao pamoja na watu wao ni matajiri, zikiwemo Japan, China waliamua kutumia 5 common sense wakati waafrika na ujinga wao wanakimbilia kanisani "kuomba''. Tutapuuzwa Hadi lini na the rest of the races? We ought to put our sh#t together.
[/QUOTE

Nadhani kuna ka ukweli umesema na ndo maana hata maaskofu wamekata tamaa sasa wanaingia kwenye kukosoa badala ya kushauli kwa kutumia kanuni zao za kiroho, kutokana na maono ya mitume kwa wafalme, nanukuu, enenda kwa mfalme fulani ukamweleze haya niliyokutuma, sasa hawa hawaendi kwa watawala kuwaeleza bali wanatangaza hata kwa wale yasiowahusu, mungu alijua kuwa umuhimu wa personal briefing, kwa maana ukiliweka wazi mtu atashindwa kujishusha, sasa hawa manabii wa sasa sijui hawapati kutoka juu kwa muumba ila ni mawazo yao na chuki walizonazo kama binadamu, hilo sijui, sasa hizo 5 common sense ungeziweka hapa kama hao wachina walivyofanya labda watawala na wananchi tutaokota hata matatu tukasonga mbele.
 
Dini ndio pazia inayotuzuia kuona upande ule mwingine ambao ni wa siasa za kibepari zinazochangia ukosefu wa maarifa na hekima kwa watu masikini ambao ndio wengi bara hili letu la Afrika.
Wanasiasa nao wana-take advantage na kumkandamiza maskini zaidi kwa kutompa maarifa ya kujikwamua toka kwa hali hiyo. Politicians have all the solutions to our problems but they are not willing to help us.
... they are not willing to help us kwakua wako bize kumaster uchokoraa wao.
 
Aliyewapa haya majukumu huku mitandaoni sina hakika kama aliwapa na muongozo wa namna ya kuchangia hoja mbalimbali zitolewazo huku. Huwezi kuwa mtetezi wa Chama na Serikali kwa kutoa mawazo ya kipumbavu kiasi hiki.
Unaweza kujiona unatetea Chama kumbe ndo unazidi kukichafua. Jifunzeni kutumia akili katika kujibu hoja hasa mnazofikiri ni za wabaya wenu. Huwa mnafanya tathmini ya matokeo kazi hii mlopewa?
Km anaona wivu watu kutukuzwa na yeye aingie kwenye siasa aone km atapata kyra

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani alikufundisha dini huondoa umasikini? Kabila lako linakusaidiaje katika mapambano dhidi ya umasikini? Hao Wachina unaowasema sio kwamba hawana Dini, bali walichagua kufuata Dini zao na sio Dini za kuletewa.. waliopeleka hizo Dini baada ya kushindwa kupenya China, wakaja na hadithi za China hawatoi Uhuru wa kuabudu, kitu ambacho ni uondo. Iwe Africa ama Ulaya, Dini haiondoi umasikini.

Back
Top Bottom