mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Wewe kweli ni dishi limeyumba,mbona hukachangia kwenye hoja ya kisomi,ya Abdul Nondo,unalukia vitu vya kijinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kweli ni dishi limeyumba,mbona hukachangia kwenye hoja ya kisomi,ya Abdul Nondo,unalukia vitu vya kijinga.
Asante Baba Askofu Bagonza.
Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo.
Mungu akutunze baba yetu.
=======
Anaandika Bagonza ( PhD)
CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE
Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza haya:
1. Mungu haongei nasi kutumia Corona. Tunaalikwa kuongea na Mungu kwa tishio la Corona.
2. Katika vita kuna kujilinda na kushambulia adui. Tumesikia mbinu nyingi za kujilinda na chache za kushambulia Corona.
3. Tutangaze tunapofunga goli na tunapofungwa. Hofu ya kufungwa inaongeza mbinu za kujilinda. Watu wakiona na kusikia habari za watu wanaowajua, wataelewa kirahisi hatari inayotukabili.
4. Tuwalinde wachezaji wetu kwa gharama. Watumishi wa afya nchini kote, wapewe vifaa vya kujilinda na watengewe maeneo ya kukaa. Wasirudi majumbani.
5. Vifaa vipatikane na vijulikane viko wapi. Wenye uwezo wajinunulie na wawanunulie wasio na uwezo.
6. Visivyopatikana nchini viagizwe. Msamaha wa kodi utangazwe na ukiritimba wa kuviingiza uondolewe haraka. Mashirika yahanasishwe kuagiza haraka.
7. Tusitishe vyombo vya usafiri kutoka mkoa kwenda mkoa. Hivi sasa kirusi chaweza kuwa Ubungo asubuhi na jioni kikawa Kahama. Barabara nzuri na Bombadier hazisafirishi bidhaa tu. Hata virusi vinapata lifti.
8. Mashine za kupima virusi zipelekwe kila mkoa.
9. Elimu isisitizwe kuliko adhabu. Usugu wa adhabu utaongeza kasi ya maambukizi. Polisi wapige virusi, wasipige watu.
10. Tufunge na kuomba lakini tukumbuke Corona ni tatizo la kisayansi zaidi kuliko kuwa tatizo la kiroho. Tuombe, tusiombeombe.

Miaka zaidi ya 50 ya kumuomba mungu na bado Afrika ni masikini wa kutupwa...there is something terribly wrong with our religion or our god.Asante Baba Askofu Bagonza.
Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo.
Mungu akutunze baba yetu.
=======
Anaandika Bagonza ( PhD)
CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE
Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza haya:
1. Mungu haongei nasi kutumia Corona. Tunaalikwa kuongea na Mungu kwa tishio la Corona.
2. Katika vita kuna kujilinda na kushambulia adui. Tumesikia mbinu nyingi za kujilinda na chache za kushambulia Corona.
3. Tutangaze tunapofunga goli na tunapofungwa. Hofu ya kufungwa inaongeza mbinu za kujilinda. Watu wakiona na kusikia habari za watu wanaowajua, wataelewa kirahisi hatari inayotukabili.
4. Tuwalinde wachezaji wetu kwa gharama. Watumishi wa afya nchini kote, wapewe vifaa vya kujilinda na watengewe maeneo ya kukaa. Wasirudi majumbani.
5. Vifaa vipatikane na vijulikane viko wapi. Wenye uwezo wajinunulie na wawanunulie wasio na uwezo.
6. Visivyopatikana nchini viagizwe. Msamaha wa kodi utangazwe na ukiritimba wa kuviingiza uondolewe haraka. Mashirika yahanasishwe kuagiza haraka.
7. Tusitishe vyombo vya usafiri kutoka mkoa kwenda mkoa. Hivi sasa kirusi chaweza kuwa Ubungo asubuhi na jioni kikawa Kahama. Barabara nzuri na Bombadier hazisafirishi bidhaa tu. Hata virusi vinapata lifti.
8. Mashine za kupima virusi zipelekwe kila mkoa.
9. Elimu isisitizwe kuliko adhabu. Usugu wa adhabu utaongeza kasi ya maambukizi. Polisi wapige virusi, wasipige watu.
10. Tufunge na kuomba lakini tukumbuke Corona ni tatizo la kisayansi zaidi kuliko kuwa tatizo la kiroho. Tuombe, tusiombeombe.
Na kweli huyu jamaa ni mpuuzi sana hadi anakera. Nina kila sababu ya kuamini kuwa huyu mtu analipwa kwa kupotosha humu. Natamani kweli moderator ampige burn.Ujinga unawatafuna wengi sana. Mimi ombi langu acha korona iwafteke watu wenye akili kama zako. Iwafyeke watu wasiojulikana. Iwafyeke anayewatuma wasiojulikana. Iwafyekee wale polisi wanaobambikizia watu kesi. Iwafyeke majaji wanaotoa hukumu zisizo za haki. Naimani ikiwafyeka watu wa namna iyo dunia itabaki na amani na watanzania kiujumla wataishi kwa fraha.
Sent using Jamii Forums mobile app
How do we put our sh..t together when the presidency in African countries is an opportunity kua chokoraa uliyeshindikana wa kuchakura na kuokota na kujilimbikiza mali?Miaka zaidi ya 50 ya kumuomba mungu na bado Afrika ni masikini wa kutupwa...there is something terribly wrong with our religion or our god.
Kuomba ni upuzi Kila mtu ajitegemee kwa kutumia 5 common sense. Hawa maaskofu na makasisi wanakula jasho ya masikini waafrika wenzao na hamna matunda yatikanayo na "kuomba" ila umasikini.
Waliotuletea dini hizi hawaziamini na kuzifata huku Nchi zao pamoja na watu wao ni matajiri, zikiwemo Japan, China waliamua kutumia 5 common sense wakati waafrika na ujinga wao wanakimbilia kanisani "kuomba''. Tutapuuzwa Hadi lini na the rest of the races? We ought to put our sh#t together.
Huyu Dk. Bagonza na Niwemugizi ni wivu tu dhidi ya Jiwe ndio unawasumbua.Km anaona wivu watu kutukuzwa na yeye aingie kwenye siasa aone km atapata kyra
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini ndio pazia inayotuzuia kuona upande ule mwingine ambao ni wa siasa za kibepari zinazochangia ukosefu wa maarifa na hekima kwa watu masikini ambao ndio wengi bara hili letu la Afrika.How do we put our sh..t together when the presidency in African countries is an opportunity kua chokoraa uliyeshindikana wa kuchakura na kuokota na kujilimbikiza mali?
Ni ngumu. Tunalaumu dini lakini ukweli tatizo lipo kwenye mifumo ya kisiasa.
Miaka zaidi ya 50 ya kumuomba mungu na bado Afrika ni masikini wa kutupwa...there is something terribly wrong with our religion or our god.
Kuomba ni upuzi Kila mtu ajitegemee kwa kutumia 5 common sense. Hawa maaskofu na makasisi wanakula jasho ya masikini waafrika wenzao na hamna matunda yatikanayo na "kuomba" ila umasikini.
Waliotuletea dini hizi hawaziamini na kuzifata huku Nchi zao pamoja na watu wao ni matajiri, zikiwemo Japan, China waliamua kutumia 5 common sense wakati waafrika na ujinga wao wanakimbilia kanisani "kuomba''. Tutapuuzwa Hadi lini na the rest of the races? We ought to put our sh#t together.
[/QUOTE
Nadhani kuna ka ukweli umesema na ndo maana hata maaskofu wamekata tamaa sasa wanaingia kwenye kukosoa badala ya kushauli kwa kutumia kanuni zao za kiroho, kutokana na maono ya mitume kwa wafalme, nanukuu, enenda kwa mfalme fulani ukamweleze haya niliyokutuma, sasa hawa hawaendi kwa watawala kuwaeleza bali wanatangaza hata kwa wale yasiowahusu, mungu alijua kuwa umuhimu wa personal briefing, kwa maana ukiliweka wazi mtu atashindwa kujishusha, sasa hawa manabii wa sasa sijui hawapati kutoka juu kwa muumba ila ni mawazo yao na chuki walizonazo kama binadamu, hilo sijui, sasa hizo 5 common sense ungeziweka hapa kama hao wachina walivyofanya labda watawala na wananchi tutaokota hata matatu tukasonga mbele.
... they are not willing to help us kwakua wako bize kumaster uchokoraa wao.Dini ndio pazia inayotuzuia kuona upande ule mwingine ambao ni wa siasa za kibepari zinazochangia ukosefu wa maarifa na hekima kwa watu masikini ambao ndio wengi bara hili letu la Afrika.
Wanasiasa nao wana-take advantage na kumkandamiza maskini zaidi kwa kutompa maarifa ya kujikwamua toka kwa hali hiyo. Politicians have all the solutions to our problems but they are not willing to help us.
INA MAANA HAPA TANZANIA KUNA MWANADAMU ANATUKUZWA? MBONA HII MPYA KWANGU
kuna watu sijui walizaliwa na wazazi na wazazi wake wakijua mtoto wao nichizi wataumia sanaa kwanini awakuchukua maamuzi yakuchomoa mimba
Km anaona wivu watu kutukuzwa na yeye aingie kwenye siasa aone km atapata kyra
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka zaidi ya 50 ya kumuomba mungu na bado Afrika ni masikini wa kutupwa...there is something terribly wrong with our religion or our god.
Kuomba ni upuzi Kila mtu ajitegemee kwa kutumia 5 common sense. Hawa maaskofu na makasisi wanakula jasho ya masikini waafrika wenzao na hamna matunda yatikanayo na "kuomba" ila umasikini.
Waliotuletea dini hizi hawaziamini na kuzifata huku Nchi zao pamoja na watu wao ni matajiri, zikiwemo Japan, China waliamua kutumia 5 common sense wakati waafrika na ujinga wao wanakimbilia kanisani "kuomba''. Tutapuuzwa Hadi lini na the rest of the races? We ought to put our sh#t together.
Huyo nadhani ana uwendawazimu. Msipoteze muda wenu.