Na ukitaka kupata impact ya huo ulinganisho ambao wengine wanautolea utetezi hebu hili la Yesu tuliweke pembeni halafu badala yake tumweke Mtume Mohamad afananishwe na Magufuli tuone waislamu watakavyo react.Haya mataga akili hayana Lugola Jibaba zima hovyo kabisa.KOMA kumfananisha YESU na midude mingine
Toa mfano wa kitu kimoja kidogo!Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Ya kwako pofu hvyo hauko tofauti na wanyamaa wa serengeti😀 akili yako haina akili.
Kwa tafsiri yangu mimi, Yesu inajulikana kwetu kama Mwana wa Adamu ambapo ametajwa mara 88 katika Agano Jipya.Kwani yesu ni nani?
tupate jawabu la swali kabla hatujamhukumu lugola
Hakuna mahali Kangi amemfananisha Yesu Kristo mwana wa Adamu na Rais Magufuli, bali ametumia neno kama, neno ambalo halina mfanano wa moja kwa moja na kitu husika, Sasa wewe kwa akili yako unadhani YESU KRISTO MWANA WA ADAMU Anaweza kufananishwa na Mwandamu hapa duniani ingawa na Yeye YESU KRISTO alikuwa ni mwanadamu???? 😫👂
Mkuu..ile tuhuma ya kudeti na binti ya kaka yako iliisha vipi, ama mlimaliza ilo SAGA kifamilia zaidi?.Kuna mtu aliwahi kusema kuwa huyu mzee alikuwa anaishi marekani, baada ya kurudi kwenye hilo kanisa akatoa rushwa kwa viongozi wa kanisa na kumfitinisha askofu aliyekuwapo kisha akapewa yeye hiyo nafasi, tena akawa na tuhuma ya kutembea na wake za watu kama si waumini wake
Kwa hiyo ana mapungufu makubwa,
Na mtu aliyeseam hayo ni mtu wa huko kwake anakoongoza hilo kanisa.
Kama alitubu akasamehewa basi asijifanye kuwa mtakatifu yeye na kuona kibanzi machoni mwa wengine wakati yeye analo liboriti mwilini mwake.
Mkuu wacha nilale, tutaonana asubuhi nikiamka, asante kwa uelewako tofauti na wengine wenye matusi kwenye hoja zao.Ile tafsiri ya neno kama niliyo iweka katika hoja yako ina eleweka vizuri ,na mwanzo uliunga mkono hoja ya Lugola.
Kwani yesu ni nani?
tupate jawabu la swali kabla hatujamhukumu lugola
Mkuu ebu jibu ulichoulizwa na mkuu kikulachako.Mkuu ,Imani za Watu hizo.Hata kama Mtu anaamini Ng'ombe ndio Mungu wao inafaa aheshimiwe.
Mkuu wacha nilale, tutaonana asubuhi nikiamka, asante kwa uelewako tofauti na wengine wenye matusi kwenye hoja zao.
Ni Mungu kwa mujibu wa imani ya kikisto.Kwani yesu ni nani?
tupate jawabu la swali kabla hatujamhukumu lugola
Mkuu ebu jibu ulichoulizwa na mkuu kikulachako.
Asante sana Baba Askofu kwa Maonyo yako Mungu hadhihakiwiAnaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
___________
Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema, "Mimi ni Bwana Mungu wako, usiwe na miungu mingine" (Kutoka 20:3-6).
_
Kufuru haina kinga duniani wala mbinguni. Ghadhabu ya Mungu iko wazi katika vitabu vyake vyote.
Tuzitendee haki kumbukumbu zetu;
1. Mwaka 2005 mjinga mmoja alitumia uhuru wake vibaya huko Denmark. Akachora katuni yenye kumdhihaki Mtume Muhammad (S.A.W). Dunia nzima iliwaka moto.
2. Mwaka 2010 mpuuzi mwingine huko Marekani akachoma moto Quran tukufu. Hakuna jiwe lililosalia juu ya jiwe.
3. Mwaka 2012 huko Mbagala utoto ukavuka mipaka. Msahafu ukakojolewa. Amani yetu ilitoweka kwa muda. Majivu yakawa majivu.
4. Huko Sumbawanga, msimu wa uchaguzi kama huu, ulimi wa mmoja uliteleza. Akaufananisha UTATU mtakatifu na mafiga matatu ya chama chake. Hapakutosha. Mzee Pinda (mtu wa amani), ana cha kusimulia mpaka leo.
Mungu wetu hafananishwi. Mungu wetu halinganishwi. Mungu wetu hashindanishwi. Ni ibada ya sanamu kupenda kitu kingine kuliko unavyompenda Mungu wako. Ni ibada ya sanamu kuchukia kitu kingine kuliko unavyomchukia shetani. Ni ibada ya sanamu kumlinganisha Muumbaji na uumbaji wake.
Hatumtendei haki Mungu kumlinganisha na aliowaumba. Hatuwatendei haki wale tuwapendao kwa kuonesha kuwa tunawapenda kuliko tunavyompenda aliyewaumba.
Walinzi na waangalizi wa imani (viongozi wa dini), kama hatuwezi kukemea hili (la Lugola) basi angalau tuchukie na tuonekane kweli tumechukizwa.!
Kumdhihaki Yesu ni kitu kidogo acha ujinga weweShida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Kufuru ni kitu kidogokidogo?Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Rostam HazizHakuna mwanasiasa yeyeto anaeweza ishi nje ya mfumo wa siasa,we umuoni lijuakali anavolialia ,
wewe unatatizo la akili, Mbowe hana.Ni kweli, tatizo langu ni sawa na Mh mbowe matatizobyetu yanafanana.