Pelle mza
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 3,050
- 1,694
Ni wapi Mkristo anazuiliwa kumtaja Mtume Muhammad (SAW) au Muislamu kumtaja YESU!Kama ni mpangani inakuaje anamtaja Yesu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi Mkristo anazuiliwa kumtaja Mtume Muhammad (SAW) au Muislamu kumtaja YESU!Kama ni mpangani inakuaje anamtaja Yesu
Mpumbavu mmoja anaandika "CCM",lakini anaandika "mungu" na "yesu". Upumbavu ni kipaji kumbe.Bagonza anafikili anaweza kuchukua nafasi ya mungu? Hawezi ku finally hukumu ya mungu kwa binadamu hata siku moja, pia akumbuke kuna watu wanaitwa yesu hapa duniani kwa maana hiyo hao hawatasamehewa kwa vile wamejiita jina la yesu?
Pia lazima ajue mfano sio lazima iwe kitu halisi,
Ujuaji anaotaka kujifanya anao Bagonza unamuondolea hadhi ya kuwa Askofu.
Kuna wanasiasa wanasema uongo na anajuwa wanasema uongo na wengine ni waumini wake mbona hatujaona andiko kuwakemea ili waache uongo kwa kuwa vitabu vya dini vinasema usimsemee mtu uongo, pia uongo ni zaidi ya mchawi, sasa hilo halijui?
Mapenzi yake kisiasa hayamzuii kuacha uaskofu ili aje apambane kama mwanasiasa kwa kuwa yeye hatakuwa wa kwanza, kuna Dr slaa, kuna marehem rwakatale kuna msigwa na wengine wengi.
Yeye anashambulia upande wa CCM tu je huko Upinzani ni watakatifu?
Maaskofu wa hivi laana zao watazibeba wenyewe maana mungu anaiona mioyo yao inavyohangaika na maovu wanayowaza kika siku.
Bagonza ajitathimini.
Mpumbavu mmoja anaandika "CCM",na pia anaandika "mungu". Kweli wapumbavu mmejazana huko.Siku moja askofu Munga alijaribu tu kuwaonya mkambagaza na maneno ya hovyo wakati mnajuwa huyo ni member wenu itakuwa CCM kumshukia askofu mwanachama wa chadema?
Tulieni munga anajijua madhaifu aliyonayo, na kama hajui basi mungu anayajua
Akafanye toba mungu atamfunulia tu.
Anachukizwa na mazingaombwe ya awamu ya kishindoShida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Acha ujinga ujue yule ndugu yangu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu lugola akiambiwa ashikilie ukuta atakuwa wa Kwanza kuinama
Ujinga mwingine ni tatizo. Haiingii akilini kusikia MTU anatolea mfano ghafla Askofu unageuza huo mfano kuwa laana ya taifa.Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
___________
Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema, "Mimi ni Bwana Mungu wako, usiwe na miungu mingine" (Kutoka 20:3-6).
_
Kufuru haina kinga duniani wala mbinguni. Ghadhabu ya Mungu iko wazi katika vitabu vyake vyote.
Tuzitendee haki kumbukumbu zetu;
1. Mwaka 2005 mjinga mmoja alitumia uhuru wake vibaya huko Denmark. Akachora katuni yenye kumdhihaki Mtume Muhammad (S.A.W). Dunia nzima iliwaka moto.
2. Mwaka 2010 mpuuzi mwingine huko Marekani akachoma moto Quran tukufu. Hakuna jiwe lililosalia juu ya jiwe.
3. Mwaka 2012 huko Mbagala utoto ukavuka mipaka. Msahafu ukakojolewa. Amani yetu ilitoweka kwa muda. Majivu yakawa majivu.
4. Huko Sumbawanga, msimu wa uchaguzi kama huu, ulimi wa mmoja uliteleza. Akaufananisha UTATU mtakatifu na mafiga matatu ya chama chake. Hapakutosha. Mzee Pinda (mtu wa amani), ana cha kusimulia mpaka leo.
Mungu wetu hafananishwi. Mungu wetu halinganishwi. Mungu wetu hashindanishwi. Ni ibada ya sanamu kupenda kitu kingine kuliko unavyompenda Mungu wako. Ni ibada ya sanamu kuchukia kitu kingine kuliko unavyomchukia shetani. Ni ibada ya sanamu kumlinganisha Muumbaji na uumbaji wake.
Hatumtendei haki Mungu kumlinganisha na aliowaumba. Hatuwatendei haki wale tuwapendao kwa kuonesha kuwa tunawapenda kuliko tunavyompenda aliyewaumba.
Walinzi na waangalizi wa imani (viongozi wa dini), kama hatuwezi kukemea hili (la Lugola) basi angalau tuchukie na tuonekane kweli tumechukizwa.!
Aah wapi sio tzIla wakristo kidogo tunakuwaga na huruma sana, angetolea huo mfano wake kwa kumlinganisha na yule wa upande mwingine, asingeamini huo moto wake.. Angeshatoka kwenye vyombo vya habari kuomba radhi..!
Alafu ww Kangi Lugola acha kumshambulia baba AskofuAnaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
___________
Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema, "Mimi ni Bwana Mungu wako, usiwe na miungu mingine" (Kutoka 20:3-6).
_
Kufuru haina kinga duniani wala mbinguni. Ghadhabu ya Mungu iko wazi katika vitabu vyake vyote.
Tuzitendee haki kumbukumbu zetu;
1. Mwaka 2005 mjinga mmoja alitumia uhuru wake vibaya huko Denmark. Akachora katuni yenye kumdhihaki Mtume Muhammad (S.A.W). Dunia nzima iliwaka moto.
2. Mwaka 2010 mpuuzi mwingine huko Marekani akachoma moto Quran tukufu. Hakuna jiwe lililosalia juu ya jiwe.
3. Mwaka 2012 huko Mbagala utoto ukavuka mipaka. Msahafu ukakojolewa. Amani yetu ilitoweka kwa muda. Majivu yakawa majivu.
4. Huko Sumbawanga, msimu wa uchaguzi kama huu, ulimi wa mmoja uliteleza. Akaufananisha UTATU mtakatifu na mafiga matatu ya chama chake. Hapakutosha. Mzee Pinda (mtu wa amani), ana cha kusimulia mpaka leo.
Mungu wetu hafananishwi. Mungu wetu halinganishwi. Mungu wetu hashindanishwi. Ni ibada ya sanamu kupenda kitu kingine kuliko unavyompenda Mungu wako. Ni ibada ya sanamu kuchukia kitu kingine kuliko unavyomchukia shetani. Ni ibada ya sanamu kumlinganisha Muumbaji na uumbaji wake.
Hatumtendei haki Mungu kumlinganisha na aliowaumba. Hatuwatendei haki wale tuwapendao kwa kuonesha kuwa tunawapenda kuliko tunavyompenda aliyewaumba.
Walinzi na waangalizi wa imani (viongozi wa dini), kama hatuwezi kukemea hili (la Lugola) basi angalau tuchukie na tuonekane kweli tumechukizwa.!
Hizo nyingi mbona,elf 20 tu kakosa kazi plus fine milioni moja na nusu plus za kuhonga ili kesi iishe haraka.Aliona heri kununua Uhuru wake ili aisozee jela,kwa kupima kipi muhimu Kati ya familia au kukaa ndani miaka ili kusubiria hizi kesi za uonevu hazina dhamana hata Kama sh 500 ukituhumiwa nazo ujui mwaka gani utatoka.Lazima amuite Yesu sababu amemuokoa kukaa gerezani kwa wizi mkubwa aliufanya mpaka sasa yupo uraiani na wakati kuna watu wapo mahabusu kwa milioni 17 za uonevu
Hatuwezi kunyamazia upuuzi wa wabunge kumfananisha mtu na Mungu kamwe hatuwez, hii ni kufuru ngoja tumwombe Mungu atajibu tu
Askofu Bagonza ni kweli kabisa umefika wakati kwake kuvua majoho ya uaskofu na kupanda jukwaani.
Uwe na siku njema nzi wa UFIPA.Acheni propaganda za kijinga enyi nzi wa KIJANI. Mbona wakti wa Corona mliwaagiza Maaskofu kupitia Magufuli ili waombe kwa ajili ya Tanzania? Leo Askofu kumkemea Lugola kwa DHAMBI ya KUKUFURU mnamgeuza kuwa MWANASIASA....!!! Non-sense!
Kwako kufuru unaiona ni kitu kidogo sana🤣Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
sio yeye tu wapo kibao, hapa jf tunao magonjwa mtambuka, ussr, cromes nk yaani watashindana kubong'oa vizuri!.Huyu lugola akiambiwa ashikilie ukuta atakuwa wa Kwanza kuinama
Tatizo lako wewe ni Mapenzi kwa Lugola mpaka unawachukia wengine kisa tu kumkosoa Lugola wako!!!!Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.