Kana matusi ya rejareja!.....Wagombea jifunze "kufungia mbwa wenu" maana hawana faini ya kulipa.
....
Huyo shehe anaogopa MINUSO YA IKULU hakuna shereh asiyoalikwa sas hapo unategemea nin alaf ni mtu wa totoz. Anapiga self anaenda kuzingulia vichuchuHapo ma ccm yatakuambia "Askofu acha kuchanganya dini na siasa" wakati Sheikh mkuu wa Dar es salaam yeye huwa anapiga kampeni waziwazi kuinadi ccm!
Unataka wamkemee muumini wao wakati huwa anawapelekea sadaka kwenye kikapu. Huyo ni mwenzao ndio maana wako kimya. Unakumbuka enzi za kikwete walivyokuwa wakali?Maaskofu wangu Katoliki pamoja na akili kubwa lakini katika awamu hii ameniangusha!!