Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kana matusi ya rejareja!.....Wagombea jifunze "kufungia mbwa wenu" maana hawana faini ya kulipa.
....
Huyu askofu ni mshabiki wa Lisu na ameshindwa kujificha kama alivyo Gwajima,
Kati ya watu wataumia sana kwenye huu uchaguzi ni huyu Bagonza