Kwa hio kumbe kanisa huwa sio sehemu ya ibada peke yake bali ni kumbi za mikutano ya siasa sio?Naamini anawaambia wanasiasa ambao Nina HAKIKA hawajaenda hapo kusali, Wana agenda zao.
Mkataba na DP world ni fake batili ufutwe haraka.
Wafike tu ila waje na mabinti wengi tuchanganye damu,CCM hoyee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DP WORLD WANAKARIBIA KUFKA TANZANIA
Wafike tu ila waje na mabinti wengi tuchanganye damu,CCM hoyee
Kumbe kuna ushindani wa ukristo na uislam?
Mkuu chuki za kidini ni mbaya mno sizani kama jamii iliyokuzunguka wote ni wakristo.
Miaka yote atuna chuki za kidini hio roho ya kuchukia wenzio umeitoa wapi
Mkuu wapo kitambo sana na tunawakaribisha kwa mikono miwili![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DP WORLD WANAKARIBIA KUFKA TANZANIA
Hawezi kutangaza tenda kutokana na mafungamano ya Siri na DubaiMkuu, hebu nisikilize vizuri, binafsi sina dini na siipendi, humu jukwaani nimeliweka wazi kabisa,
Tanzania kuna udini mkubwa sana, tena wa kutisha kuliko hata ukabila. Uzuri ni kwamba wazee wa TANU na CCM chini ya Raisi Nyerere walijitahidi kutengenisha dini na uongozi. Huu ndiyo ulikuwa utaratibu wetu, kwamba mbali na watu kuwa na dini zetu, hicho siyo kigezo cha kuwa kiongozi.
Watu waliliamini hili sana, japo mara chache kumekuwepo na matukio madogo madogo (Sporadic Events) za vurugu za kidini. Ila wakati wote serikali ilisimama imara kwasababu ya imani kwamba nchi ni yetu sote. Kuna wakati Mzee Nyerere aliitisha uchunguzi kwenye baraza la mawaziri baada ya malalamiko kwamba wamejaa wakatoliki, na mwishowe ikaoneka yalikuwa ni majungu.
Tatizo linakuja pale ambapo tumepata kiongozi ambaye hajachanga karata zake vizuri. Hili sakata lilipoanza, watu walianza kusema Uzanzibar na Uarabu. Ila watetezi wa mama wakaja na hoja kubwa kwamba, mama anachukiwa kwasababu ni Muislamu. Shida ilianzia hapa. Aheri wasingelisema kabisa hili, maana ukweli ni kwamba watangulizi wake kama Jakaya na Magufuli walishambuliwa mno, ila hoja za udini hazikuwa kama ilivyo sasa.
Yote haya chanzo ni rushwa na mkataba mbovu wa DP World. Wanakwepa ukweli kwamba hili ndiyo tatizo, na wanaenda kwenye hoja za dini. Unadhani hii michezo ya kuzunguka makanisani ndiyo itaenda kutatua matatizo. AU unadhani sisi hatufahamu nini kinachozungumzwa huko kwenye vikao vya ndani vya maaskofu na mashekhe, ???
Raisi aliyaona haya mapema kabisa, kwanini hakutoka hadharani kuwakemea wafuasi wake wanaotumia dini kumtetea. Mzee Nyerere alishawahi kuwaandikia barua kali mno maaskofu baada ya Mzee Rugambwa na wenzake kutaka kuingilia baadhi ya mambo. Hata Kikwete alipoona Masheikh wa dini yake wanatumia dini kwenye siasa aliwaweka ndani. Raisi Samia zaidi ya kusema Tanzania ni moja tu, akiongelea Uzanzibar na Utanganyika, wapi alikemea hizi propaganda za kidini zinazopigwa mtandaoni na waumini wenzake, ???
Kiukweli, mdharau mwiba mguu huota tende. Sasa huo mkataba unaendelea kuligawa taifa, anaukumbatia wa nini, ??? Kama ni uwekezaji bandarini kwanini asitangaze tenda kwa makampuni mengine ya kimataifa, ???
TEC wakati wanatoa waraka wao hawakutegemea uungwaji mkono wa KKKT na hakuna kitakachobadili msimamo wa TEC na Kanisa Katoliki kwa ujumla.Usimsemee Baba Askofu msome tena vizuri hutaki kuamini kama kawatosa wenzake[emoji23]
We mtu hii research yako umeifanyia wapi??Pili, hakuna kitu ambacho kinawaunganisha wakristo kama chuki yao dhidi ya uislamu. Nothing unites Christians in the world, like their common disgust and hatred towards Islam. Hivyo unaweza leo ukadhani unawagawanya, lakini ndani ya roho zao ukweli ni kwamba wakristo wa madhehebu yote wanawachukia waislamu, kama ambavyo waislamu wa madhehebu yote wanavyowachukia Wakristo. Ukishafahamu hili utaenda kwenye hoja hii ya mwisho.
Nini kipo juu ya huo upotoshaji?Hakuna sehemu aliposema anaunga mkono uwekezaji wa bandari acheni kupotosha
Nao wanaandaa waraka wao,Usimsemee Baba Askofu msome tena vizuri hutaki kuamini kama kawatosa wenzake😂
Hapo utakuwa umekasirikaWafike tu ila waje na mabinti wengi tuchanganye damu,CCM hoyee
Shoo yeye anmeangalia tu maslahi yake na kusifia mkatabaMkuu, hebu nisikilize vizuri, binafsi sina dini na siipendi, humu jukwaani nimeliweka wazi kabisa,