CCM wameshaazoea kutuibia halafu watu wakakaa kimya ,watu wakihoji ndo wanaitwa wa dini ,halafu wengine waendelee kulamba asali na wengine waendelee kulamba shubiroAskofu yupo neutral na kashauri vzr.
Tujikite kwenye maudhui ya mkataba na DPW je, una tija?
Tamko la TEC liko wazi na halipo kidini isipokuwa linatetea rasilimali za nchi.