Askofu Dkt. Fredrick Shoo: Tusiwagawe watu kwa misingi ya dini

Askofu yupo neutral na kashauri vzr.
Tujikite kwenye maudhui ya mkataba na DPW je, una tija?
Tamko la TEC liko wazi na halipo kidini isipokuwa linatetea rasilimali za nchi.
CCM wameshaazoea kutuibia halafu watu wakakaa kimya ,watu wakihoji ndo wanaitwa wa dini ,halafu wengine waendelee kulamba asali na wengine waendelee kulamba shubiro
 
Ni suala la muda tu mzee...
 
Serikali iwapo amejenga hoja yake katika msingi wa kutugawa kidini au kwasababu nyingine yoyote huyo akemewe, tumkatae hana nia njema"
"....Inapotokea viongozi wa dini wakashauri, na wakakemea, wasiambiwe wanachanganya dini na Siasa....."

Haya maelezo ya Askofu Shoo hayakukidhi haja ya kusudio lako ndiyo maana hukuangaika nayo. Nawaza!
 
"....Inapotokea viongozi wa dini wakashauri, na wakakemea, wasiambiwe wanachanganya dini na Siasa....."

Haya maelezo ya Askofu Shoo hayakukidhi haja ya kusudio lako ndiyo maana hukuangaika nayo. Nawaza!
Huyo mswahili ana matatizo, anaonekana wazi leo ndio alikuwa anategemea yeye na mamake watapata angalau pointi ya kujitetea lakini wapi, hali yao bado mbaya sana hawa viumbe.
 
Usione vyaelea, ujue vimeundwa.

Hii Tanzania ya amani na utulivu ambayo wewe unaiishi imetengenezwa na watu waliojitoa (Waislamu na Wakristo) hadi leo hii unahisi udini na ukabila haupo. Matatizo na kelele za kidini, hapa Tanzania zimekuwepo sana, sema busara imetumika kulifikisha taifa hapa lilipo leo. Hii nchi bila kuwepo na BALANCE OF POWER baina ya Muslims & Christians kwenye mgawanyo wa madaraka, hatutakuwa na utofauti na nchi kama Central African Republic.


 
....imezuiliwa..
Hivi hili linawezekanaje...!? Unanyang'anywa kabisa! Unaambiwa shuka ....katafute usafiri mwingine! Na ni Mkuu wa Kaya! Si aagize "waambata" wakaichukue "kimedani" aisee!!

Huu ni unyanyapaaji wa kutisha, kama ni kweli.
 
Vipi mbona ajakemea na wanaoingia mikataba mibovu kwa maslai Yao badala ya nchi anasemaje hili
 
Hivi ndio vipengele vinavyotakiwa kubadilishwa
 
Viongozi wa kisiasa wakitumia majukwaa ya makanisa au misikiti kwa manufaa ya kisiasa "Hapa dini haijachanganywa na siasa" ila Viongozi wa kidini wakiongelea siasa tena kwa mambo muhimu kabisa yanayogusa maslahi mapama na mustakabali wa vizazi vijazo ambapo dini lzm iseme ukweli " Hapa sasa ndio dini imechanganywa na siasa". Mwenye akili haambiwi tazama
 
Kitendo cha TEC kusambaza waraka kwa waamini wake ni Sawa na kuligawa taifa, maana kesho Bakwata pia watatoa waraka wa kutetea, Sasa tunalopeleka taifa wapi?!
TEC acheni chuki hili taifa ni la watanzania wote.
Nijuavyo mimi BAKWATA sio watu wa Washati km hawa wanaijipa utume na unabii kila siku lkn natamani sana bakwata na wao watoe waraka halafu tuone sasa.
Fimbo zikianza kutembea mitaa sisi tunafahamu kina nani wa kwanza kukunja magauni na kukimbia.
Waache waendeleze unafiki wao. Kikiwaka watajuta.
 
Wazee wa kobazi bwana. Elimu yenu ya madrasa haiwasaidii kufikiri na kutafakari. Huoni askofu Shoo katupa kijembe kwa mashekhe ubwabwa wanaotaka kugawa watanzania?
Nyie kondoo endeleeni kupiga vigeregere lkn siku likiwaka mtashangaa.
Si tunawaona paroko wengine huko nje.
Hata kuku Ana afadhali kwa uoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…