Waislamu hata siku moja haanzishi maneno ya fitna na Chuki hapa Nchini.Kumbe kuna ushindani wa ukristo na uislam?
Mkuu chuki za kidini ni mbaya mno sizani kama jamii iliyokuzunguka wote ni wakristo.
Miaka yote atuna chuki za kidini hio roho ya kuchukia wenzio umeitoa wapi
Tuna wachapa kisomi hatu sumbuani na akili zenu kisodaHakuna lolote watanzania ni watu tofauti mno na unavyowadhania.
Mkibisha wakatoliki anzisheni vurugu muone kitakachotokea.
Hamtaamini macho yenu.
Sisi waislamu tunawasubiri mlianzishe.
Na kweli mimi binafsi siwachukii Waislam kabisaa wala sina tatizo nao. Pia nina ndugu wa damu Waislam wengi kabisa. Ndugu na baadhi ya rafiki zangu Waislam ni wakweli na hawana dhuluma. Ni watu wema. Mwenyezi Mungu anayejua kila mtu anachowaza na kutenda Awaangamize wote wanaoeneza chuki za udini hapa Tanganyika! Ni wapumbavu kwa sababu si wasomi wa lo lote lile na nahisi wana akili ndogo sana.We mtu hii research yako umeifanyia wapi??
Umeishi Mbeya?? Huku watu wengi hawaujui huo uislam unafananaje! Hawajui kama kuna dini nyingine zaidi ya ukriato. Na ndio maana kwenye mahuburi yao mengi hawautaji uislam.
Unawajua Wasabato? Hawa wao viya yao kubwa ni dhidi ya wakatoliki.
Umeishi hii mikoa ya pwani kama Dsm, Tanga, Zanzibar?? Huku waislam ni wengi sana. Hapa watoto huanza madrasa wakiwa wadogo kabisa na wengi wao huo ukristo hawaujui kabisa zaidi.
Ndio maana tunachangamana tu bila kujali huyu dini gani na yule dini gani kwasababu hatuna chuki kati yetu.
Wenye akili wameelewaWanaukumbi.
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameiomba Serikali kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kuwagawa watu kwa utofauti wa Dini na kusema hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza Serikali iwapo amejenga hoja yake katika msingi wa kuwagawa Watu kidini au kwasababu nyingine yoyote akemewe kwakuwa hana nia njema.
Dkt. Shoo amesema hayo mbele ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Maadhimisho ya
Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika
Chuo cha Tumaini Makumira, Arusha leo August 21,2023.
Dkt. Shoo amenukuliwa akisema
"Umoja wa Taifa letu la Tanzania, mshikamano ni muhimu kuliko Mtu au kundi lolote, niwaombe Viongozi wenzangu wa Dini zote, niwaombe Wanasiasa, kuacha kabisa kujaribu kuwagawa Watu kwa misingi ya Dini au kwa misingi ya itikadi iwayo yoyote ya kisiasa na kwa misingi ya maslahi binafsi"
"Niombe Serikali yako kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kutugawa kwa utofauti wa Dini zetu, hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza
Serikali iwapo amejenga hoja yake katika msingi wa kutugawa kidini au kwasababu nyingine yoyote huyo akemewe, tumkatae hana nia njema"
Chanzo: Millard Ayo.
Wakatoliki zaidi ya milioni 30 kwa mujibu wenu mnaangaika na mvaa ushungi mmoja tena mwenye elimu ya kuungaunga halafu bado mnajiona mna akili!Tuna wachapa kisomi hatu sumbuani na akili zenu kisoda View attachment 2724249
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sanaNaamini anawaambia wanasiasa ambao Nina HAKIKA hawajaenda hapo kusali, Wana agenda zao.
Mkataba na DP world ni fake batili ufutwe haraka.
Ni Kweli Bahari huenda ziara lakini jioni hurudiInauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
Hiyo ndio imeendaWazee wa kobazi bwana. Elimu yenu ya madrasa haiwasaidii kufikiri na kutafakari. Huoni askofu Shoo katupa kijembe kwa mashekhe ubwabwa wanaotaka kugawa watanzania?
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sanaTEC wakati wanatoa waraka wao hawakutegemea uungwaji mkono wa KKKT na hakuna kitakachobadili msimamo wa TEC na Kanisa Katoliki kwa ujumla.
Pole sanaNi Kweli Bahari huenda ziara lakini jioni hurudi
Hiki kitu ndo huwa mimi kinanichanganya...Viongozi wa kisiasa wakitumia majukwaa ya makanisa au misikiti kwa manufaa ya kisiasa "Hapa dini haijachanganywa na siasa" ila Viongozi wa kidini wakiongelea siasa tena kwa mambo muhimu kabisa yanayogusa maslahi mapama na mustakabali wa vizazi vijazo ambapo dini lzm iseme ukweli " Hapa sasa ndio dini imechanganywa na siasa". Mwenye akili haambiwi tazama
Washaambiwa hakuna Mwenye Ubavu, yani Taasisi itishe Dola kwa kuwa tu ina wafuasi,Wakatoliki zaidi ya milioni 30 kwa mujibu wenu mnaangaika na mvaa ushungi mmoja tena mwenye elimu ya kuungaunga halafu bado mnajiona mna akili!
Nyie ni wapuuzi tu mngekuwa na akili msingekuwa mnaangaika na samia mda huu.
Ni ujinga tu na kutotumia akili.Washaambiwa hakuna Mwenye Ubavu, yani Taasisi itishe Dola kwa kuwa tu ina wafuasi,
kuna Siku Simba au Yanga nazo zinaweza kutishia Dola tukilea uhayawani huu
Hii tabia sasa ikomeshwe kama kukoma yenyewe imeshindikana
[emoji23][emoji23]Wakatoliki zaidi ya milioni 30 kwa mujibu wenu mnaangaika na mvaa ushungi mmoja tena mwenye elimu ya kuungaunga halafu bado mnajiona mna akili!
Nyie ni wapuuzi tu mngekuwa na akili msingekuwa mnaangaika na samia mda huu.
Eti PHD [emoji23]Ni ujinga tu na kutotumia akili.
Wanachokifanya kingewezekana kama hii nchi ingekuwa ni katoliki peke yake na samia ni muislamu pekee.
Nchi yenye dini mchanganyiko na na bado familia moja ina ndugu wa dini mchanganyiko ngumu kutumia kete ya sisi wengi kutisha mamlaka.
Yani mtu mwenye PhD anaamini yeye na waumini wake wana nguvu kuliko dola! huu upumbavu sikutegemea utoke kwa mtu anayejinasibu ni msomi.
Ni mpumbavu tu anayeweza kuwaza kwa mtazamo huo.Eti PHD [emoji23]