Baba askofu Munga hajawataja Mbowe na Mtei bwashee.Leteni tume huru muone kama CHADEMA itapigiwa kura na familia ya Mtei na Mbowe pekee.
Usiwe mvivu wa kufikiri chadema haijapoteza muelekeo imekatazwa kufanya siasaNi ushauri murua kabisa uliotolewa na baba askofu Munga kupitia waraka akiwaasa Chadema kwamba chama cha siasa ni mali ya umma.
Naomba ushauri huu upokelewe pia na vyama vyote vya Upinzani ambavyo umiliki wao ni kama wa binafsi mfano TLP, ACT wazalendo, UDP, Chauma nk
Nimpongeze sana Dr Munga kwa kutomung'unya maneno na kukieleza ukweli chama kikuu cha Upinzani ambacho kimepoteza mwelekeo.
Nitauweka waraka hapa.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio kupoteza mwelekeo huko!Usiwe mvivu wa kufikiri chadema haijapoteza muelekeo imekatazwa kufanya siasa
Weye HASWA ndo umedhihirisha kuwa huna mwelekeo, uelewa wala uwezo wa kuelewaNdio kupoteza mwelekeo huko!
Ila ccm na chadema wamezidi.Ni ushauri murua kabisa uliotolewa na baba askofu Munga kupitia waraka akiwaasa Chadema kwamba chama cha siasa ni mali ya umma.
Naomba ushauri huu upokelewe pia na vyama vyote vya Upinzani ambavyo umiliki wao ni kama wa binafsi mfano TLP, ACT wazalendo, UDP, Chauma nk
Nimpongeze sana Dr Munga kwa kutomung'unya maneno na kukieleza ukweli chama kikuu cha Upinzani ambacho kimepoteza mwelekeo.
Nitauweka waraka hapa.
Maendeleo hayana vyama!
Kwasababu kaongea ukweli wenye kuuma