Askofu Dkt. Munga: Chama cha siasa siyo mali ya mtu binafsi bali ni mali ya umma, Chadema zingatieni hilo

Leteni tume huru muone kama CHADEMA itapigiwa kura na familia ya Mtei na Mbowe pekee.
 
Usiwe mvivu wa kufikiri chadema haijapoteza muelekeo imekatazwa kufanya siasa
 
Ila ccm na chadema wamezidi.

Vyama vinaendeshwa utafikiri kampuni za familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…