Askofu Dkt. Shoo, Wana KKKT wa Konde wanasema fedha zao bilioni 2 za kujenga chuo kikuu ndizo zimekutoa Kilimanjaro kwenda kumfukuza askofu wao

Askofu Dkt. Shoo, Wana KKKT wa Konde wanasema fedha zao bilioni 2 za kujenga chuo kikuu ndizo zimekutoa Kilimanjaro kwenda kumfukuza askofu wao

Ni vyema sasa Askofu Shoo akatoka na kufafanua hili.

Ukifuatilia YouTube, Wana Konde wanaidai kwamba mzizi wa mgogoro ni fedha hizo, na wanadai askofu "mchaga" anatumika kuficha waliozifuja.

Kuna nini katika fedha hizo? Maana ni vizuri akajisafisha kwamba hakuzila Hela hizo, na kama alizila eti ndio maana Yuko katika harakati za kuwafukuza wanaozifuatilia.

Eti pia mnashinikiza hotel ya kanisa Matema beach iuzwe, Wana Konde wanakataa, mmepata mteja?

Hebu Shoo aweke suala hili sawa
Wapuuzi nyie huku kaskazini kuna vyuo kibao vya KKKT
 
Mkuu wa kanisa usitoke kutoa ufafanuzi wowote kuhusu konde.waache wasiojua waendelee na mipasho yao.
Wanakonde sikilizeni maneno ya Askofu mteule aliyozungumza baada yakuchaguliwa,tafakarini Yale maneno.
Mtaelewa kitu kikubwa sana kisha noeni nanga ya huduma.
Safi kabisa umeongea point mkuu
 
Back
Top Bottom