Uchaguzi 2020 Askofu Dr. Bagonza kumbuka Rais ni taasisi. Je, ulitaka Magufuli asizungumzie Uchaguzi kisa ni Mgombea?

Askofu huwezi mwelewa wewe, sio level zako huyo, na ana mawazo huru, wewe umefungwa huwezi mwelewa

Huyu askofu ni TUNU kwa nchi yetu; kumdhihaki ni kutukosea heshima wananchi wenye uelewa! Sio kila mtu mwenye mawazo huru yuko Chadema!!! Wengi wetu ni WATANZANIA kwanza, haya MaNGO yenu mnayaita vyama vya Siasa ni Magenge ya wezi tu!
 
vipi rais anaposema nitafuta upinzani anakua anaongea rais taasisi au rais mtu na utashi wake yeye kama yeye??
 
Mngeanza kwanza kumueleza ukweli mbowe.

Mnatokwa mapovu kwavile mnajua bila kuwa na DOLA hamuwezi kutoboa!!! Mtaishia kuiba kura tu. Tupeni haki yetu wananchi tuchague tunaowataka watuhudumie bila hila.
 

Bagonza ni mwanaharakati hivyo tegemea chochote kutoka kwake.
 
Lazima ujue kutenganisha kati ya cheo cha Urais ambacho ndio taasisi, na mtu fulani anaeongea kishabiki ambae ni mwenyekiti wa CCM.
 

Askofu manyoya mpwelepweto katika uvuvuzela wake. He has baptized himself recently as a religious imbonerakure in political contexts.
 
Usipoteze muda na chui katika ngozi ya kondoo.
 
Utopolo wamejazana lumumba hamuwezi kujibu hoja,mmebaki kusifia tu
 
Kwa kanuni zilizoandaliwa na tume kusimamia uchaguzi, ni CCM tu ndio watakaorudi bungeni. Kanuni ya 30(1) inatoa ruhusa kwa AG, NEC Director, Msajili wa vyama, au RO (hao wote ni watendaji wakuu wa Serikali, and this is unprecedented) kumwekea pingamizi mgombea ubunge. Unajua kilichofungwa humo? Kukijua hicho rejea kilichofunguliwa katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji mwaka Jana (2019). Wembe utakuwa uleule kama wapinzani hawajaamuka sasa na kuingia mitaani. Wakiendelea kuwa waoga wameliwa, na sisi sote tutakuwa tumeliwa.
 
Bagonza Yuko too biased
 
Kwani Jana Magufuli alikuwa anahutubia bunge Kama rais au mwenyekiti wa ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…