Uchaguzi 2020 Askofu Dr. Bagonza kumbuka Rais ni taasisi. Je, ulitaka Magufuli asizungumzie Uchaguzi kisa ni Mgombea?

Uchaguzi 2020 Askofu Dr. Bagonza kumbuka Rais ni taasisi. Je, ulitaka Magufuli asizungumzie Uchaguzi kisa ni Mgombea?

Kabla ya kumuuliza Kiongozi wa Kidini mkubwa namna hii.

Mimi ngoja nikuulize, Je nisahihi mtu huyohuyo anayesema uchaguzi utakua huru nahaki, hapohapo aseme CCM watarudi na wapinzani kwa heri?. Yeye ndio mpiga kura? Au sabababu anajua Tume yake ya uchaguzi haitaruhusu ilo????

Nmekujibu Swali kwa Swali.
Utopolo wa namna hii ndo maiti za ccm zinaaminisha watu kuwa watu milioni 600 duniani walikesha wakiusikiliza
 
Mtoa Mada Njaa Inamsumbua, ukweli anaujua ila anacheza na akiri zetu. Mgombea alijuaje uchaguzi utakuwa huru na haki wakati wagombea na vyama vishiriki wanalalamikia tume ya uchaguzi...

Hata hivyo Pamoja na tume hii isiyo huru lolote laweza kutokea na Wakashangaa Wanaojidanganya kuwa CCM wote watarudi na wapizani kwa heri.
Uchaguzi utakuwaje huru na wa haki wakati "mtia nia ya kugombea ndani ya CCM" anafukuzwa Uanachama?
Watanzania tunawezaje kuikubali kauli ya ''huru na haki'' wakati maandishi yako waziwazi ukutani?
Kama MwanaCCM mtia nia anafukuzwa ndani ya Chama, Mgombea wa Chama cha Upinzani ategemee kufanyia nini? Kuvunjwa miguu?
Kupigwa risasi?
Kufunguliwa kesi za kutakatisha pesa?
Mungu ionee huruma Tanzania
 
Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli.

Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu yeye ni mgombea urais na mwenyekiti wa CCM?

Maendeleo hayana vyama!
Tume ya uchaguzi ndiyo yenye dhamana ya uchaguzi na ndiyo inastahili kuongelea uchaguzi wa haki na amani.
Ndiyo yenye haki ya kutoa matamko yanayohusu uchaguzi.
Askofu yupo sahihi
 
Shida ya CCM na wafuasi wake ni wepesi sana wa kutafsiri mambo kwa kupotosha ilimradi muhusika ameongea kinyume na jinsi wanavyotaka wao! Jambo hili ndilo limewafanya hata viongozi wengi wa kiroho ambao ndio wachungaji wa Taifa letu kujikuta wanasita kutoa kauli zao za kichungaji hata pale mambo yanapokwenda ndivyosivyo lakini wanakuwa kimya kwa kuogopa kuwa wakikemea, kauli zao zitapotoshwa, watashambuliwa! Matokeo yake wengine wamegeuka kuwa wanafiki dhidi ya nafsi na imani zao wenyewe!
 
Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli.

Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu yeye ni mgombea urais na mwenyekiti wa CCM?

Maendeleo hayana vyama!
Mbona tumeshuhudia ubaguzi mkubwa sana kipindi hiki Cha miaka 5 Tena yeye akijitapa kabisa kwamba hawasikilizi wabunge wa upinzani na wapiga filimbi wake watasema majukwaani kwamba hawatapeleka pesa za maendeleo kwenye majimbo ya upinzani ( kibajaj) inasemaje maendeleo hayana chama!?
 
Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli.

Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu yeye ni mgombea urais na mwenyekiti wa CCM?

Maendeleo hayana vyama!
Je ni askofu wa kitu gani??? Msaada Mi simjui.
 
Mtoa Mada Njaa Inamsumbua, ukweli anaujua ila anacheza na akiri zetu. Mgombea alijuaje uchaguzi utakuwa huru na haki wakati wagombea na vyama vishiriki wanalalamikia tume ya uchaguzi...

Hata hivyo Pamoja na tume hii isiyo huru lolote laweza kutokea na Wakashangaa Wanaojidanganya kuwa CCM wote watarudi na wapizani kwa heri.
kwa kweli huu ni mwaka wa kuhangaika kila mtu ataonesha kuwa yeye anaweza
 
Once again askofu kachota point 3 katika kujenga hoja fikirishi...ivi wananchi wakiamua kama walivyo amua katika chaguzi za serikali za mitaa na awamu hii wawape viti vyote bungeni, madiwani na kiti cha uraisi, JE TANZANIA ITAKUWA NCHI YA MAZIWA NA ASALI? JE WATAKOSOANA NA KUIBUA MADUDU YAO WENYEWE ni zaidi ya miaka 50 tunaskia agenda zile zile kwa aina ya watu walewale tofauti yao ni ndogo sana ila ni zao la baba yule yule
 
Huu wimbonwa rais ni taasisis sijui aliwafundisha nani. Kama taasisi uongee utumbo, kila kitu, uwe mahakama, uwe bunge, uwe tume ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom