digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Utopolo wa namna hii ndo maiti za ccm zinaaminisha watu kuwa watu milioni 600 duniani walikesha wakiusikilizaKabla ya kumuuliza Kiongozi wa Kidini mkubwa namna hii.
Mimi ngoja nikuulize, Je nisahihi mtu huyohuyo anayesema uchaguzi utakua huru nahaki, hapohapo aseme CCM watarudi na wapinzani kwa heri?. Yeye ndio mpiga kura? Au sabababu anajua Tume yake ya uchaguzi haitaruhusu ilo????
Nmekujibu Swali kwa Swali.
Uchaguzi utakuwaje huru na wa haki wakati "mtia nia ya kugombea ndani ya CCM" anafukuzwa Uanachama?Mtoa Mada Njaa Inamsumbua, ukweli anaujua ila anacheza na akiri zetu. Mgombea alijuaje uchaguzi utakuwa huru na haki wakati wagombea na vyama vishiriki wanalalamikia tume ya uchaguzi...
Hata hivyo Pamoja na tume hii isiyo huru lolote laweza kutokea na Wakashangaa Wanaojidanganya kuwa CCM wote watarudi na wapizani kwa heri.
Umesaini kuwa kilaza namba three!Hakuna mahali amesema ccm mtarudi wapinzani kwaheri. Na angesema hivyo leo ungeona tanzania daima imeweka front page.
Tume ya uchaguzi ndiyo yenye dhamana ya uchaguzi na ndiyo inastahili kuongelea uchaguzi wa haki na amani.Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli.
Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu yeye ni mgombea urais na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuelewa bwashee!Tume ya uchaguzi ndiyo yenye dhamana ya uchaguzi na ndiyo inastahili kuongelea uchaguzi wa haki na amani.
Ndiyo yenye haki ya kutoa matamko yanayohusu uchaguzi.
Askofu yupo sahihi
Upumbavu nao ni sifa pia.Kweli mambo yanabadilika kwa kasi. Leo askofu anakemea watu kuambiwa wasitukane. Ye anataka lugha za matusi kwa hiyo.? Aingie tu kwenye siasa atukane.
Mbona tumeshuhudia ubaguzi mkubwa sana kipindi hiki Cha miaka 5 Tena yeye akijitapa kabisa kwamba hawasikilizi wabunge wa upinzani na wapiga filimbi wake watasema majukwaani kwamba hawatapeleka pesa za maendeleo kwenye majimbo ya upinzani ( kibajaj) inasemaje maendeleo hayana chama!?Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli.
Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu yeye ni mgombea urais na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Je ni askofu wa kitu gani??? Msaada Mi simjui.Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli.
Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu yeye ni mgombea urais na mwenyekiti wa CCM?
Maendeleo hayana vyama!
kwa kweli huu ni mwaka wa kuhangaika kila mtu ataonesha kuwa yeye anawezaMtoa Mada Njaa Inamsumbua, ukweli anaujua ila anacheza na akiri zetu. Mgombea alijuaje uchaguzi utakuwa huru na haki wakati wagombea na vyama vishiriki wanalalamikia tume ya uchaguzi...
Hata hivyo Pamoja na tume hii isiyo huru lolote laweza kutokea na Wakashangaa Wanaojidanganya kuwa CCM wote watarudi na wapizani kwa heri.