peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Sasa nirudi kwenye mada.
Kumekuwa na kupeana nafasi kwa watoto wa maaskofu huko Dayosisi ya kaskazini , nafasi kubwa za kikazi ,kanisa limejenga ngome ambayo watoto wa waumini wengine ambao baba zao sio maaskofu nafasi hutapewa na nafasi za kaxi hazitangazwi.
Mifano ni mingi ila nieleze michache;-
1. Mkuu wa chuo cha Masoka ambacho sasa ni tawi chuo kikuu cha Tumaini ni mtoto wa baba askofu mstaafu Kweka. Prof Amini Kweka.
2. Mkufunzi wa chuo cha Tumaini Makumira ni mtoto wa askofu mstaafu askofu Shao.
3. Mkufunzi wa chuo cha Tumaini Makumira ni mtoto wa askofu Stefano Moshi ambaye ni Mch Nehemia Moshi ambaye anaandaliwa kuwa askofu wa Dayosisi ya Kaskazini na ambaye
4. Kaka yake ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskani Engineer Zebedayo Moshi.
5. Mtoto wa Askofu msataafu Kweka ni Daktari hosptali ys rufaa ya KCMC ambayo ilianzishwa na askofu Stephano Moshi .
Sasa kwa hali hii, watoto wa watoa sadaka kila jumapili kazi watazipata lini huko Dayosisi ya Kaskazini? Uelekeo wa sadaka ni ule ule na uelekeo wa kaxi kubwa kubwa ni ule ule .
Niwatakie Xmas Njema