Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

Pengo alizingua sana. Toka siku ile alipozungumza japo nilikuwa namuona kama kiongozi wangu kiroho ila sasa natamka wazi kuwa Pengo ni muumini wa shetani anayeunga mkono mauaji na dhuluma. Apite kando nami nipite kando!
Inapofikia hatua ya mtu mkubwa kama huyu Kiroho kuamua kuacha kumwabudu MUNGU na anakeuka kumwabudu na kumsujudia binadamu mwenzake ujue tumefika pabaya.
 
Sawa
 

Tunakushukuru Baba askofu kwa neno la faraja,ILA VIONGOZI WA DINI WA TAIFA HILI WAJUE KWAMBA WANANCHI WAKISHAONA KWAMBA VIONGOZI WA DINI SIO FARAJA KWAO TENA AU SIO WATETEZI TENA,NA KWA MAANA HIYO WANANCHI WAKAONA VIONGOZI WA DINI WANATETEA MAOVU,BASI TUJUE HUO UTAKUWA MWISHO WA TANZANIA YENYE AMANI NA UTULIVU.
 
Umeandika kiswahili, siyo kwa lugha ya kwenu ambayo huenda nisingeielewa. Kama unadhani maji yanasaidia kuelewa kunywa wewe yakusaidie kuelewa nilichoandika.
Kinaweza kikawa kiswahili ila kichwa uwezo wako wa kudigest ukawa haukidhi viwango!
 
Asante mwanakijiji
 
Anakunwa askofu wenu kila siku kwenye media na anasubiria wenzie waseme
Na wew upo kwenye nn hapa?Aù unahis upo chumbani na mumeo?Hoja mfu kabisa yaan dunia ya leo unashangaa mtu askofu kutumia social media. Nyie mijitu sijui kolomije ipi.
 
Na wew upo kwenye nn hapa?Aù unahis upo chumbani na mumeo?Hoja mfu kabisa yaan dunia ya leo unashangaa mtu askofu kutumia social media. Nyie mijitu sijui kolomije ipi.
Sio askofu kutumia media bali kuwashwa na wivu. Saiz atakua anaandika kujibu speech ya Leo ya JPM
 
Askofu Munga amepoteza mwelekeo

sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Hujitambui na hutoweza kuyajua kwa yakini aliyoyaandika baba askofu Munga kwani uwezo wako wa akili ni mdogo mno! Kajielimishe kwanza!
 
Munga anatumikia tumbo lake mambo ya Mungu alishayaacha kitambo

State agent
Wewe unatumikia nini hapo lumumba? Heri yake anayelitumikia tumbole na kuwaza vyema kuliko alitumikiaye tumbole kwa fujo na kulitumia kufikiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…