....Munga sio Mungu!, lugha ipi ya kinyenyekevu inayojichanganya changanya, fungua macho yako vzr soma andiko la askofu wako!
... busara ipi unayoizungumzia?, eti kosa la Pengo ni kumsifia Makonda kupitiliza!, kwani kamuita Makonda ni Mungu?!, hicho kipimo cha kupitiliza huyo Munga kakitoa wapi?, huoni ana lake moyoni huyo? nyie mpambeni tu huyo Askofu wenu, but he is so selfish!Jd41, hebu kuwa na busara, hakuna Alilokosea askofu munga. Tulubaliane kutokubaliana
Askofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
.... kwanini asiseme ninaemheshimu, Niliyemheshimu na Nitaendelea kumuheshinu, halafu yote yametumika kwenye paragraph mbili tofauti, huoni kajichanganya kashindwa kukumbuka neno alilotumia mwanzo?, anajidai kulainisha mwishoni wakati juu hakumbuki kama alishaharibu, ajifunze kukaa kimya, sio kila siku kuvizia wengine waongee halafu yeye apate muda wa kusoma psychology ya watu ndio ajibu, mpk ajue kundi kubwa liko upande gani, he lacks confidence!, mwambieni sasa yeye ndio aanze kuandika,sio kujibu jibu tu!Nimesoma vizuri, na nimeona hayo maneno, "niliyemheshimu" na " nitaendelea kumheshimu"
Bado sijaona dharau hapo. Ur making a mountain out of a molehill.
...dawa ya watoto kama wewe!Hii n dawa japo chungu
.....Uzuri pamoja na makanisa na misikiti kunajisiwa na madicteta bado watu makini hawawezi kuisha makanisani na misikitini.
.....Uzuri pamoja na makanisa na misikiti kunajisiwa na madicteta bado watu makini hawawezi kuisha makanisani na misikitini.
Hongera kwa huyo Askofu wa KKKT. Mwasisi wa kanisa lake alipingana na Kanisa la Kardinali Pengo. Huyo Mwasisi anaitwa Dr. Martin Luther. Hivyo huyu Askofu anasimamia alichokiamini mwasisi wa kanisa lake. Alisimama kidete kwamba anayepaswa kuabudiwa ni Mungu tu na siyo mwanadamu na kwamba Kanisa lisimame kwenye NENO la Mungu siyo vinginevyo.
Hakuna busara hapo.
Jibu hoja zake,jikite kwenye mada huelewi Nini wewe mlamba viatu .Askofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Ndugu yangu mtumishi wa mungu askofu Munga nikushukuru kwa nasaha zako!Lakini nakuuliza ndugu aliekuambia PENGO NI MTUMISHI WA MUNGU NI NANI?ANATUMIKIA DOLA YA KIRUMI NA NDIO INAYOMTUMA HAYO ULIYOYAONA!!!Nikupongeze kwa kumkumbusha jiwe arudishe mke wa mtu aliezaa nae!!!mungu akubariki!!!
Askofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Mungu na akulinde kwa kusema iliyo kweli, Pengo amepofushwa , amestaafu ukadinali nadhani kastaafu na kazi ya Mungu, apewe rasmi kazi ya uzee wa CCM atuachie kanisa letu.
Pengo ni wa hvy sana sijui yukoje analiaibisha kanisa
Heri yao walichagua kuungana na KWELIMatokeo ya kuchanganya dini na siasa ndio haya, sasa kondoo wanagawanyika kuzingatia mitazamo ya wachungaji.