Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

Critical and logical mind.Tangu uhuru comment zenye hekima kama hizi ni nadra sana.
 
Hawa ndiyo wapakwa mafuta wa bwana waliweza kusema na kusimama na kweli. Desmond Tutu alifanya hivyo, kule DRC walifanya hivyo, na kina Arap Muge walifanya hivyo. Japo wengine damu zao zililipa gharama lakini Mungu aliyaponya mataifa yao.
 
Amina. Ubarikiwe baba ASKOFU kwa uthubutu wa kuyasema haya. Kawaida yaweza kuwapendeza na kuwaudhi baadhi yetu lkn hapo mwisho kwenye uchaguzi wa serekale za mitaa dahhh! Noma, ndio tayari tuna Viongozi WAPYA ambao HD sasa wengine hatuwajui, wanasubiri kuapishwa. Sifahamu watapataje uthubutu wa kuwaeleza wananchi mambo muhimu wakiwa na Amani ya Mioyoni mwao. "Hatujawachagua sisi wananchi". Serikali imeshindwa kuweka hata kuweka kura ya ndio na hapana?? Hatuna nia njema.
 
Hivyo alichosema kakosea au??
 
Hujambo mdau!!
 
Ni kweli hakuna busara si kwa sababu ulichotaka kukisikia......hujakisikia
Hapana mkuu, mimi niko tayari kusikia yote, ninayopenda na nisiyopenda. Binadamu tunatofautiana, hatuwezi kuwa na mawazo yanayofanana. Tunahitaji kuvumiliana.
Turudi kwenye hoja kwanini sijaona busara kwenye post uliyoisifia.

Kuna mambo matatu hapo ambayo kwa mtazamo wangu hayana busara.
Kusema Askofu Munga ana kiherehere na yeye anyamaze, hana hadhi ya kumjibu pengo na Pengo siyo level yake.

Sasa hayo kwako kama ni busara ni mtazamo wako. Kwangu siyo busara.
 
Hivyo alichosema kakosea au??
Kama askofu kakosea kumsema askofu mwenzie ktk public ni lazima wafuasi wa pengo wakwazwe ikiendelea hali hii ya maaskofu kusemana ktk public italeta mivurugano sana ktk jamii. Good enough wa Roma hawatalijibia ktk public angekua amesemwa kakobe au Gwajima mbona moto ungewaka
 
Mtu anayeweza kukuonya ni yule aliyekuzid madaraka au power na anauwezo wa kukuadhibu usipotii. Askofu Munga hana uwezo wa kumuonya Pengo. Hana power yeyote anapuuzwa tu
 
Mtu anayeweza kukuonya ni yule aliyekuzid madaraka au power na anauwezo wa kukuadhibu usipotii. Askofu Munga hana uwezo wa kumuonya Pengo. Hana power yeyote anapuuzwa tu
Umerudia tu maelezo ambayo Mzee Mwanakijiji alishayatolea ufafanuzi mzuri. Kasome post yake #185. Sina tatizo na hayo uliyosema.
 
Wanapovuruga mfumo wa elimu wanataka muwe na kiwango kama hiki chako katika kufikiri na kujadili mambo!
 
Askofu Munga Umenenaa ukweli.na Kweli humuweka mtu Huru .
 
pengo alishakengeuka miaka mingi! kumbukeni alivyowa
saliti maaskofu wenzake tena wa katoliki!
Sio mtu wa kumuamini kwani maslahi yake binafsi ndio kipau mbele.
Ila matamko yake yanaliharibu sana kanisa katoliki!
 
Level ya Pengo ni Bashite eeh? Ingekuwa kujibizana lazima muwe level moja basi hii dunia ingekuwa siyo mahali salama pa kuishi.
naomba muulize huyo mkaruka ataja rinu ni level ya baba askofu munga mpaka amjibu? hawa wapuuzi sampuli yake humu jf yafaa na ni haki kuwapuuza. skunks of jf!
 
Mtu anayeweza kukuonya ni yule aliyekuzid madaraka au power na anauwezo wa kukuadhibu usipotii. Askofu Munga hana uwezo wa kumuonya Pengo. Hana power yeyote anapuuzwa tu
Kumbe Hata baba yako akijinyea kitandani halafu akawa anacheka hutaweza kumwambia chochote kwakuwa amekuzidi power?

Kweli ukilaza ni mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…