Munga ana hasira sana na serikali mkewe alikua mkuu wa chuo na master yake then PhD holders wakawa lecturers wa kawaida. TCU wakatishia kufunga chuo ikamlazmu mkewe kukaa kando. Hasira zake kwa serikali hazitakuja isha maana maslahi ya familia yake yaliguswa
Akina Ritz akina sumu walikuwepo aiseehahaha dogo unanitahidi kupost ila nikukumbushe waliwahi kuwepo wenzio wanapost zaidi yako yaani ilikua balaa but leo hawapo, so take care, njaa mbay vidole vitaota kutu
MUNGA katika Uzee ulio mwema .Mungu mbariki Dr Baba Askofu Munga
Nina uhakika 100% wewe na huyo mwezako Kawe Alumni hamjasoma hii thread zaidi ya kusoma kichwa cha habari na kuanza kubweka kama kawaida yenu.Munga anatumikia tumbo lake mambo ya Mungu alishayaacha kitambo
State agent
Duh! Kumbe hata kiswahili siku hizi kimekuwa kigumu kueleweka. Mtu anapokuambia ni busara wakati mwingine kukaa kimya, huo ni ushauri tu na siyo kwamba amekukataza kutoa maoni yako.Munga ni nani hadi azuie watu kutoa maoni yao ??
Wako wawili state agent na Kawe AlumniHili ni ligeni sijawahi kuliona Lumumba. Nadhani litakuwa shoga maana mwanamume hawi hivi
Askofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Level ya Pengo ni Bashite eeh? Ingekuwa kujibizana lazima muwe level moja basi hii dunia ingekuwa siyo mahali salama pa kuishi.Kama Askofu Munga anaona kunyamaza pia ni Hekima, kwa nini yeye hanyamazi kihele hele kila kukicha. Kwanza hana hadhi ya kumjibu Kardinali Pengo maana huyo si level yake
Ona sasa upuuzi unaoandika, wala hunitishi yutachoka na utaondoka kama walivyoondoka akina Ritz na Malaria Sugu najua huwafahamuUsinilinganishe na kina askofu Munga njaa Kali ,ninamaisha hata ukoo wenu hakuna mkichanga Mali zenu zote hadi chupi za wazee wako
State agent
Yes State agent na Kawe, haya ni mageni au ni new IDs! Yana hamu kweli ya mbeguWako wawili state agent na Kawe Alumni
Hajaelewa, siyo level yake kama na yeye anavyodai kuwa Pengo siyo level ya MungaMbona umejibu kwa hasira sana???
HayaHajaelewa, siyo level yake kama na yeye anavyodai kuwa Pengo siyo level ya Munga
Kama wewe ulivyoamua kuchagua buku saba dhidi ya akiliAskofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Kama magazeti ya akina kipepe ndiyo unasoma, una kila sababu ya kutoa hoja kama hii. Akili ya kipepe.Ukomredi wa Makonda labda awe Comrade Kipepe
Inamhusu sana tu, tatizo uzi ukiwa mrefu hamsomi. Mnakimbilia ku- comment kwenye post za wachangiaji. Soma alichoandika huyu Askofu Munga halafu ndiyo ueleze ni wapi naye alitakiwa akae kimya.BTW, mbona yeye asinyamaze kuonyesha hekima? Au yeye haimhusu...
Mungu mbariki Dr Baba Askofu Munga