johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tunataka amfufue aache sound zakeAskofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.
Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.
Source Shallom tv
Hao ni waganga njaa tu na waongo wakubwa tuHuyo askofu haileweki hapo.
Ni kama mnafiki fulani hivi anayetafuta umaarufu.
Hivi mbinguni watu wanakwenda kwa kuombewa na maaskofu?
Sasa walimuombea akiwa hai au akiwa amekufa?
Kwanini hawakumuombea wakati akiumwa ili apone na kuendelea kuwatumia watanzania?
Jamaa ana drama nyingi mpaka kuna muda najiulizaga hivi huyu kibopa ni askofu au ni ask-off?Askofu mwenyewe hujui ukifa unakwenda wapi halafu unajidai unaombea wenzio
Hao ni matapeli tu,utawasikia wanasema tunafufua walio kufa.Tunataka amfufue aache sound zake
Kashindwa Gwajima aliyepewa ubungekanisa la ufufuo na uzima imekuwaje limeshindwa kufanya miracle wa ufufuo?
Hawa majamaa wangepigwa marufuku tu maana wanadanganya sanaHii mijizi na mitapeli inayomchuuza Mungu shut up your first shitholes tafadhsli. We gamanywa anahitaji kuombewa. Na amin wewe na matapeli wenzako wa kiroho mtakufa vifo vibaya.
atapokelewa Mbingun tu kwa matendo yake. Mungu tu ndio ajuaye kama ataenda huko ama lah.Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.
Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.
Source Shallom tv