Askofu Gamanywa: Nilimuombea hayati Magufuli nina uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba

Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.

Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.

Source Shallom tv
Tu

Tusirudie makosa ya kuwapa uongozi wasukuma, wengi wana matatizo
 
Hao ni matapeli tu,utawasikia wanasema tunafufua walio kufa.
Sijui kama kule kipindi kilichokuwa kinarusha TBC na Askofu akawa ndo mwongozaji mkubwa kama kitakuwepo tena .
Kwani mambo mengi yatabadilika hata huyo Ndugu yangu Rioba sijui kama ataendelea kuwepo
 
"Aaamin"Baba Askofu Gamanywa.
Mungu akulinde Askofu Gamanywa kwa upendo wako.
 
John Pombe Magufuli Mwenyewe alishafanya mazungumzo na Mungu wake kwa imani yake. Mwacheni apumzike kwa amani kwa Mungu wake aliyemtumikia

Maneno yake ya mwisho yanajieleza

Screenshot_20210321-180749.jpg
 
Sijui kama kule kipindi kilichokuwa kinarusha TBC na Askofu akawa ndo mwongozaji mkubwa kama kitakuwepo tena .
Kwani mambo mengi yatabadilika hata huyo Ndugu yangu Rioba sijui kama ataendelea kuwepo
Rioba muda wake wa kurudi chuoni umewadia
 
Sijui kama kule kipindi kilichokuwa kinarusha TBC na Askofu akawa ndo mwongozaji mkubwa kama kitakuwepo tena .
Kwani mambo mengi yatabadilika hata huyo Ndugu yangu Rioba sijui kama ataendelea kuwepo
Kati ya wapumbavu ninaotaka waondolewe TBC ni huyu Rioba, kaigeuza TBC kuwa chombo cha kumsifu na kumuabudu jiwe 24/7
 
Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na kipaji alichobarikiwa na Mungu, amesema.

Askofu Gamanywa amesema wao walimuombea hayati Magufuli hivyo ana uhakika amepokelewa mbinguni kwa Baba.

Source Shallom tv
Ina maana aliongea na Mungu kujua kama Magufuli amefika huko salama?
 
Back
Top Bottom