Kwamba Gwajima yeye alimtaja RaisKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Rais si Mungu.Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
ni kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyanduaWakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
View attachment 3351939
Kwa utu uzma huo unashanga kunyanduana??, wewe umeshushwa.ni kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
kUNA WATU IKITOKEA LA KUTOKEA WILL FACE FIRING SQUAD BY STONING THE SAME DAY... au vipi John?Aiseee
2015 alikatwa Lowassa lakini mzee wa Watu hakujibishana na yoyote alijiendea Chadema na kupata 40%
Sasa hadi ikabaki 40 ujue jamaa asingekatwa angepata 95% 😁
Sasa wewe ulikubalije unyanduliwe huku ukirekodiwa? Uzembe uliufanya weweni kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
Gwajiboy ni Vini mtupu🔥"Gwajima ni.mzuri zaidi akitokea pembenui"
Moja ya comment hapo
samia hata kwa dorothy temu hatoboiAiseee
2015 alikatwa Lowassa lakini mzee wa Watu hakujibishana na yoyote alijiendea Chadema na kupata 40%
Sasa hadi ikabaki 40 ujue jamaa asingekatwa angepata 95% 😁
Ayaaaaa....Hongera sana Dr. Gwajima. PhD inapambana na elimu ya hapa na pale.
Shemeji mtu Dkt. Gwajima D wewe unazungumziaje suala la utekaji au halikuhusu?
Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
Kivipi? Protokali ya wapi hiyo? Rais ni nani asijibiwe? Gwajima anawajibika kwa Rais kwenye lipi?Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah