PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Umeandika vizuri, kweli Rais wetu anajirahisi sana, huyo kibwengo alitakiwa ameshashughulikiwa. Huyu IGP naye ni goigoi au anamhujumu Rais. We ujibizane na mtu km Magu? Au mamlaka ya Rais yamepunguzwa? Kwa mtindo huo atamaliza miaka 5 kweli? Sipendi Rais dhaifu anayeweza kuchezewa km wanavyotaka kwa tiketi ya ustaarabu.
 
Hahaha, aisee Ccm inajua mbinu za siasa. Kuna watu wameingia humu kwa gwajimalization wanaenda na mdundo ule ule wa EL, BM kama ndo mara ya kwanza migogoro ya aina hii kutokea.
Msingi mkuu ni No Reform No Election.

Kila mtu anajua udhaifu wa Gwajima. Ila kwenye hili watu wanasimama na Gwajima kwa sababu Kutekwa na Kupotezwa kwa Watanzania wasio na hatia ni issue nzito.

Ukisikiliza press ya Gwajima, yaliyotokea yanatokea kwa sababu Rais habanwi na Katiba pamoja na mifumo. Watu wanatekwa na kupotezwa na vikundi vinavyowajibika kwa Rais

Hivyo suluhisho kwa mujibu wa hoja za Gwajima ni Reforms.
 
Nilina Mh anasoma hiyo hoja ya Gwajimalization, Wenda ni muendelezo wa CCM kujigawa ili kumuhafifisha Lissu na no Reform yake KWA kuhamisha atensheni.

Siasa unatakiwa kusikiliza sauti KWA miaka mitano ijayo ndani ya siku moja huku ukichunguza zaidi bihaindizesini
 
Msingi mkuu ni No Reform No Election.

Kila mtu anajua udhaifu wa Gwajima. Ila kwenye hili watu wanasimama na Gwajima kwa sababu Kutekwa na Kupotezwa kwa Watanzania wasio na hatia ni issue nzito.

Ukisikiliza press ya Gwajima, yaliyotokea yanatokea kwa sababu Rais habanwi na Katiba pamoja na mifumo. Watu wanatekwa na kupotezwa na vikundi vinavyowajibika kwa Rais.
Imetoka hiyo mkuu, tupo hapa.

Uchaguzi kuwepo ni 99% kampeni kuchangamka zimeamshwa kutoka 20% kufikia 45%

Majina yakianza kukatwa na wagombea waanze kutangazwa kuchangamka kutafikia 70% mwishowe ripoti itakuwa uchaguzi ulikuwa ni wa ushindani.
 
Hongera sana Dr. Gwajima. PhD inapambana na elimu ya hapa na pale.

Shemeji mtu Dkt. Gwajima D wewe unazungumziaje suala la utekaji au halikuhusu?
Kuwatofautisha hawa maGwajima ndiyo maana watu wakatohoa, kuna 'Gwaji boy' na 'Gwaji girl'.

Lakini Gwaji boy ana sifa ya ziada hasa kutokana na ile trend aliyocheza picha la X ndo likampa hadhi ya uvulana kabisa.

Huyu mweshimiwa Waziri, alicheza vizuri sana beat za single ya Magufulaization!

Lakini kwenye utawala huu hana trend tumuweke tu pembeni.
 
Nilina Mh anasoma hiyo hoja ya Gwajimalization, Wenda ni muendelezo wa CCM kujigawa ili kumuhafifisha Lissu na no Reform yake KWA kuhamisha atensheni.

Siasa unatakiwa kusikiliza sauti KWA miaka mitano ijayo ndani ya siku moja huku ukichunguza zaidi bihaindizesini
Kuna kitu umeshaona.
 
Hapana.

Lissu huwezi kumhafifisha.

Lissu saivi kila Mtanzania anamuongelea kama mkombozi wa kweli.

Kimsingi alichokisema Gwajima kuhusu Rais kudhibitiwa kwenye mamlaka yake ya Uteuzi na Utenguzi ndo hoja za msingi zinazozungumzwa na Lissu na Chadema kila siku.

Tena Gwajima akisema agombee Urais ndo ataonekana wale wale na ndo itathibitisha kabisa kuwa hii ni mipango ya CCM kuwalaghai Watanzania.

Kwa hali ilivyo sasa, hakuna hata Mtanzania mwenye mawazo ya kupiga kura bila reforms.
 
Aiseee

2015 alikatwa Lowassa lakini mzee wa Watu hakujibishana na yoyote alijiendea Chadema na kupata 40%

Sasa hadi ikabaki 40 ujue jamaa asingekatwa angepata 95%
98% nakuapia, hyo 40 ni waliyoamua kutangaza ila ilikuwa zaid ya hyo.

ila mkuu huku duniani kila mtu na tabia yake, lowassa hakuwa na tabia ya kujibizana na mtu, aliachia kanuni za ulimwengu zifanye kazi yake, na zilifanya kwel,
 
No Reforms No Election. Hata akigombea Urais hawezi kushinda maana mifumo yote imedhibitiwa na CCM na Samia
Kwa hichi anachokuja nacho Gwaji, akigombea No election itaenda kinyonge sana mkuu.
 
Back
Top Bottom