PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

PreGE2025 Askofu Gwajima ajibu mapigo. Asema Gwajimanization ni kusema ukweli hata kama hauwapendezi walioko madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gwajima yuko sahihi.

Nimekuwa nikijiuliza hivi huyu Rais ni nani hasa ambaye amekuwa akimshauri mambo yake? Hivi kulikuwa na sababu gani hasa ya yeye Rais wa nchi kujibu ile Hoja ya Askofu Gwajima kwa namna ile aliyojibu?? Kulikuwa na sababu yoyote ile ya msingi KWA yeye kujibu Hoja nzito za Gwajima kwa kutoa lugha ya taarabu, mipasho na kejeli namna ile? Kwa nini Rais huyu ameshindwa kabisa kusoma alama za nyakati???

Suala hili la Watu kutekwa, kuteswa, kupotezwa, kubakwa, kulawitiwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa Maaskari wa Majeshi ya Serikali ni vitendo vibaya sana kupita kiasi. Hakuna Mtu hata mmoja ambaye tunatarajia kwamba anaweza kuunga mkono vitendo viovu vya uhalifu mbaya wa namna hii, isipokuwa Waovu wenyewe wanaotekeleza vitendo hivi. Rais wa nchi alipaswa aidha kuungana na Askofu Gwajima au angechagua kukaa kimya kuliko kujitokeza hadharani na kuunga mkono uhalifu kwa kupingana na Askofu Gwajima ambaye anaonekana kwamba anapinga uhalifu huu. Mimi binafsi bado sijajua bayana Rais hasa amekumbwa na tatizo gani. Namshauri ajaribu kufanya utafiti wake wa kina kabisa kuhusiana na kisa/suala la kuuawa kwa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa India, Mama Indira Ghandi pamoja na mienendo yake Mama huyo miezi michache kabla ya siku ya kuuawa kwake.
RAIS hatakiwi kujibu kila kitu suala la Gwajima lilikua limepoa labda huwezi Mipango ya wakubwa
 
TAL atafanyaje kumzuia Gwaji asichukue fomu na mnavyomfurahia kuwa anakiwasha haswa? Labda na yeye aende kwenye No reform kinyume na hapo ndoo inazidi kuwa nzito.
Kama ulimaanisha Chadema watamshabikia huyoi jamaa na kumsapoti kwenye mbio za urais sahau...Chadema imeunga mkono kauli ya Gwajima kea kusema ukweli ila haimkubali Gwajima kwasababu wanamjua tapeli.
 
Umeandika vizuri, kweli Rais wetu anajirahisi sana, huyo kibwengo alitakiwa ameshashughulikiwa. Huyu IGP naye ni goigoi au anamhujumu Rais. We ujibizane na mtu km Magu? Au mamlaka ya Rais yamepunguzwa? Kwa mtindo huo atamaliza miaka 5 kweli? Sipendi Rais dhaifu anayeweza kuchezewa km wanavyotaka kwa tiketi ya ustaarabu.
Inatakiwa hoja za Gwajima zijibiwe km zilivyowsilishwa na sio taarabu na mipasho..!!

Hivi unafikiri mnaweza kunyamazisha watu wote nchi hii??
Mpaka sasa wameuwawa wangapi na je, watu walinyamaza??
 
Nilina Mh anasoma hiyo hoja ya Gwajimalization, Wenda ni muendelezo wa CCM kujigawa ili kumuhafifisha Lissu na no Reform yake KWA kuhamisha atensheni.

Siasa unatakiwa kusikiliza sauti KWA miaka mitano ijayo ndani ya siku moja huku ukichunguza zaidi bihaindizesini
Gwajima ndo anaonesha umuhimu wa no reform no election,Akili ndogo kama yako haiwezi kueleewa!
Watu wako na sprit ya mageuzi na mabadiliko uanwaza siasa za kijima na kipumbavu za CCM
 
Back
Top Bottom