feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 9,024
- 18,683
Sio kwa Chadema Ya Lissu na HecheHahaha, aisee Ccm inajua mbinu za siasa. Kuna watu wameingia humu kwa gwajimalization wanaenda na mdundo ule ule wa EL, BM kama ndo mara ya kwanza migogoro ya aina hii kutokea.