kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,493
Gwajima hooyeeee, wauwaji hoiii!
ni kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
Rais kama mtu ana wajibu wa kulinda status ya taasisi....ila huyu mama bado...Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Kwa hichi anachokuja nacho Gwaji, akigombea No election itaenda kinyonge sana mkuu.
🤣 🤣 🤣Angekuwa ananyanduliwa yeye ndio ingekuwa ajabu, mwanamume kunyandua si ajabu.
Wewe jiulize Gwajima anatoa hoja nzito na sensitive kama hiyo halafu yeye anajibu taarabu!Rais kama mtu ana wajibu wa kulinda status ya taasisi....ila huyu mama bado...
Huyo jamaa mpuuzi sana hajui kunyandua ndo uwanaume haswa!🤣 🤣 🤣
Huyo hajui kuwa Gwajima ndo anafanya watu waione CCM ni kukundi ya watu wa hovyo sana!Sio kwa Chadema Ya Lissu na Heche
👍🤝🙏🎖️Huyo jamaa mpuuzi sana hajui kunyandua ndo uwanaume haswa!
Uyo ni mnafk anangaliaga upepo umesau kipnd cha jiwe alivokua?Hongera sana Dr. Gwajima. PhD inapambana na elimu ya hapa na pale.
Shemeji mtu Dkt. Gwajima D wewe unazungumziaje suala la utekaji au halikuhusu?
Mimi nawashauri CHADEMA wabadili gia angani. Waamue kushiriki uchaguzi na wamuweke Gwajima kuwa mgombea. Watatikisa haswa na watapata wabunge wengi kwa Tume hii hii. Mama atatangazwa kinguvu kuwa Rais lakini atakuwa amepata jibu. Watu kutekwa na kuuwawa iwe Agenda ya uchaguzi!Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
HahahaHeche alisema tuweke mpira chini Samia na lissu game ichezwe fear by saa12 asubuhi Samia atakuwa kizimkazi
Namaanisha wadau.Kama ulimaanisha Chadema watamshabikia huyoi jamaa na kumsapoti kwenye mbio za urais sahau...Chadema imeunga mkono kauli ya Gwajima kea kusema ukweli ila haimkubali Gwajima kwasababu wanamjua tapeli.
Naam kwasasa wananchi tuna imani na Chadema imetoka kwenye kikundi cha watu imerudi kwenye mikono yetu.Huyo hajui kuwa Gwajima ndo anafanya watu waione CCM ni kukundi ya watu wa hovyo sana!
No reform No election ndo anaiongezea moto Gwajima!
SawaNamaanisha wadau.
Protokali za wapi hizo faza za Nchi Dunia ya tatu au mbona tunaona huko USA Trump anajibiwa tena wazi wazi kwenye vikao na huko kusini Malema muda wote yupo na Ramaphosa shida wale jamaa waliotupa vitabu vya juma na roza walitudumaza sana ubongo kila kitu tunaamini hakiwezekeni.Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Elimu za Tanzania hizo mkuu wamefundishwa hivyo..Kivipi? Protokali ya wapi hiyo? Rais ni nani asijibiwe? Gwajima anawajibika kwa Rais kwenye lipi?
🤣🤣🤣🤣"Gwajima ni.mzuri zaidi akitokea pembeni"
Moja ya comment hapo
Ngoja waamshe yale ya money laundering and the likesKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah