GAGNANT
JF-Expert Member
- Jun 24, 2021
- 1,282
- 2,584
Definition ya GWAJIMANIZATION ni nzuri sana, excel-lent,ni ya moto sana🔥🔥🔥🔥.Nimeipenda.Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
Mwenyezi-Mungu ambariki Askofu Josephat Gwajima.