Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
mtaarabu ndiye tunayeKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah

Ni mwanaume je angekua hasimamishi si ndio mnge ongea Sana.ni kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
UJASIRI ALIO NAO MTUMISHI JOSEPHAT GWAJIMA HAUTOKANI NA CHOCHOTE, ZAIDI YA ROHO WA MUNGU NDANI YAKE!Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
Kwani Kuna mahala Presidaa ametajwaa na Gwajima?Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Hakika kwa Uthubutu wake na kuwa na Utanzania na asiye pendezwa na uharibifu wa kishetani juu ya Taifa letuGwajima yuko sahihi.
Nimekuwa nikijiuliza hivi huyu Rais ni nani hasa ambaye amekuwa akimshauri mambo yake? Hivi kulikuwa na sababu gani hasa ya yeye Rais wa nchi kujibu ile Hoja ya Askofu Gwajima kwa namna ile aliyojibu?? Kulikuwa na sababu yoyote ile ya msingi KWA yeye kujibu Hoja nzito za Gwajima kwa kutoa lugha ya taarabu, mipasho na kejeli namna ile? Kwa nini Rais huyu ameshindwa kabisa kusoma alama za nyakati???
Suala hili la Watu kutekwa, kuteswa, kupotezwa, kubakwa, kulawitiwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa Maaskari wa Majeshi ya Serikali ni vitendo vibaya sana kupita kiasi. Hakuna Mtu hata mmoja ambaye tunatarajia kwamba anaweza kuunga mkono vitendo viovu vya uhalifu mbaya wa namna hii, isipokuwa Waovu wenyewe wanaotekeleza vitendo hivi. Rais wa nchi alipaswa aidha kuungana na Askofu Gwajima au angechagua kukaa kimya kuliko kujitokeza hadharani na kuunga mkono uhalifu kwa kupingana na Askofu Gwajima ambaye anaonekana kwamba anapinga uhalifu huu. Mimi binafsi bado sijajua bayana Rais hasa amekumbwa na tatizo gani. Namshauri ajaribu kufanya utafiti wake wa kina kabisa kuhusiana na kisa/suala la kuuawa kwa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa India, Mama Indira Ghandi pamoja na mienendo yake Mama huyo miezi michache kabla ya siku ya kuuawa kwake.
Rais ni kibarua wa wananchi. Tumeshindwa kujifunza hata hapo Kenya? whyRais si Mungu.
Nafikiri ameambatanisha neno "kiprotokali".Rais si Mungu.
Gwajima yuko sahihi.
Nimekuwa nikijiuliza hivi huyu Rais ni nani hasa ambaye amekuwa akimshauri mambo yake? Hivi kulikuwa na sababu gani hasa ya yeye Rais wa nchi kujibu ile Hoja ya Askofu Gwajima kwa namna ile aliyojibu?? Kulikuwa na sababu yoyote ile ya msingi KWA yeye kujibu Hoja nzito za Gwajima kwa kutoa lugha ya taarabu, mipasho na kejeli namna ile? Kwa nini Rais huyu ameshindwa kabisa kusoma alama za nyakati???
Suala hili la Watu kutekwa, kuteswa, kupotezwa, kubakwa, kulawitiwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa Maaskari wa Majeshi ya Serikali ni vitendo vibaya sana kupita kiasi. Hakuna Mtu hata mmoja ambaye tunatarajia kwamba anaweza kuunga mkono vitendo viovu vya uhalifu mbaya wa namna hii, isipokuwa Waovu wenyewe wanaotekeleza vitendo hivi. Rais wa nchi alipaswa aidha kuungana na Askofu Gwajima au angechagua kukaa kimya kuliko kujitokeza hadharani na kuunga mkono uhalifu kwa kupingana na Askofu Gwajima ambaye anaonekana kwamba anapinga uhalifu huu. Mimi binafsi bado sijajua bayana Rais hasa amekumbwa na tatizo gani. Namshauri ajaribu kufanya utafiti wake wa kina kabisa kuhusiana na kisa/suala la kuuawa kwa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa India, Mama Indira Ghandi pamoja na mienendo yake Mama huyo miezi michache kabla ya siku ya kuuawa kwake.
Inasikitisha sana, taifa linaaibikaGwajima yuko sahihi.

ChatgptWakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
Nyie ndo shida ya hii nchi, eti ki protokaliKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Kwa rais huyu hata wakichambana na kusutana ni sawa tu, ndio asili yake!Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Jezebel hana uwezoGwajima yuko sahihi.
Nimekuwa nikijiuliza hivi huyu Rais ni nani hasa ambaye amekuwa akimshauri mambo yake? Hivi kulikuwa na sababu gani hasa ya yeye Rais wa nchi kujibu ile Hoja ya Askofu Gwajima kwa namna ile aliyojibu?? Kulikuwa na sababu yoyote ile ya msingi KWA yeye kujibu Hoja nzito za Gwajima kwa kutoa lugha ya taarabu, mipasho na kejeli namna ile? Kwa nini Rais huyu ameshindwa kabisa kusoma alama za nyakati???
Suala hili la Watu kutekwa, kuteswa, kupotezwa, kubakwa, kulawitiwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa Maaskari wa Majeshi ya Serikali ni vitendo vibaya sana kupita kiasi. Hakuna Mtu hata mmoja ambaye tunatarajia kwamba anaweza kuunga mkono vitendo viovu vya uhalifu mbaya wa namna hii, isipokuwa Waovu wenyewe wanaotekeleza vitendo hivi. Rais wa nchi alipaswa aidha kuungana na Askofu Gwajima au angechagua kukaa kimya kuliko kujitokeza hadharani na kuunga mkono uhalifu kwa kupingana na Askofu Gwajima ambaye anaonekana kwamba anapinga uhalifu huu. Mimi binafsi bado sijajua bayana Rais hasa amekumbwa na tatizo gani. Namshauri ajaribu kufanya utafiti wake wa kina kabisa kuhusiana na kisa/suala la kuuawa kwa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa India, Mama Indira Ghandi pamoja na mienendo yake Mama huyo miezi michache kabla ya siku ya kuuawa kwake.
we msenge sana, na nyie ndo maadui ambao mnatakiwa onjeshwa kwanza maana nyie tunawamudu, hao wakubwa hatuwamudu, watu wakianza na nyie hakika akili zitawajiaUmeandika vizuri, kweli Rais wetu anajirahisi sana, huyo kibwengo alitakiwa ameshashughulikiwa. Huyu IGP naye ni goigoi au anamhujumu Rais. We ujibizane na mtu km Magu? Au mamlaka ya Rais yamepunguzwa? Kwa mtindo huo atamaliza miaka 5 kweli? Sipendi Rais dhaifu anayeweza kuchezewa km wanavyotaka kwa tiketi ya ustaarabu.
Aloooh kama mpanzu vile..ila watankwatua asiweze kuamka tena."Gwajima ni.mzuri zaidi akitokea pembeni"
Moja ya comment hapo
Yule anastahili kujibiwaKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Nidhamu za uoga alizojenga Nyerere kwa wadanganyika...Umeandika vizuri, kweli Rais wetu anajirahisi sana, huyo kibwengo alitakiwa ameshashughulikiwa. Huyu IGP naye ni goigoi au anamhujumu Rais. We ujibizane na mtu km Magu? Au mamlaka ya Rais yamepunguzwa? Kwa mtindo huo atamaliza miaka 5 kweli? Sipendi Rais dhaifu anayeweza kuchezewa km wanavyotaka kwa tiketi ya ustaarabu.
Kwa Tanzania? Rais ni mtu tu kama anaweza kupewa changamoto lazima akutane nazoKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Kwa moto alioupata kipindi kile, shemeji hawezi kuinua mdomo wake dhidi ya ustadhi Rashid.Hongera sana Dr. Gwajima. PhD inapambana na elimu ya hapa na pale.
Shemeji mtu Dkt. Gwajima D wewe unazungumziaje suala la utekaji au halikuhusu?