Pole sana.my bad …
Maswala haya tuliyo nayo sasa ndani ya nchi yetu ni muhimu sana kuwa waangalifu. WaTanzania hatuhitaji hata kidogo kugawanywa katika mafungu kama hayo.
Hawa wanaotuletea maovu haya mtafaruku wa namna hiyo ndio wanaoutaka sana. Tuwanyime fursa hiyo.
Wao wanaweza kuwa na msukumo wa aina hiyo; lakini sisi siyo lazima tuwe kama wao.
Mkuu 'Kijakazi', elewa kwamba kuna waislam wengi sana wasiopendezwa na haya yanayotokea nchini mwetu sasa hivi. Hatuwezi kuwarundika waTanzania hao katika kundi ovu kama hilo la Samia.
Ndiyo. Samia anaendeshwa na mambo kadhaa, hilo la udini ni mojawapo. Na ana jeshi zima humu JF wanaomtetea kwa msingi huo wa yeye kuwa muislam. Kwa hiyo usijisikie vibaya sana kupata jibu langu kama nilivyo liwasilisha hapo.