Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Ila nasikia kuna kiungo mkata nishati anapiga jalamba kule ndani. Muda si muda ayaaaaaa
Kwahiyo hujui hata hoja ni ipi? Nini?Sijawahi kuwatesa wqtanganyika Sina hoyo nguvu wala nafasi
Tatizo huna hoja
Now what is your main hoja?
"Uislam" unahusika vipi hapo, kama siyo wewe unayetaka kuuingiza kwa sababu zako uzijuazo.
Kwahiyo sasa hivi shujaa wenu ni Gwaji Boy?Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
Shujaa wako wewe mwanaume rijali ni Samia, kutetea wenzako kutekwa, kubakwa, kulawitiwa, kupotezwa ndicho unachovijunia maishani mwako?Kwahiyo sasa hivi shujaa wenu ni Gwaji Boy?
Haya umeyatoa wapi?Shujaa wako wewe mwanaume rijali ni Samia, kutetea wenzako kutekwa, kubakwa, kulawitiwa, kupotezwa ndicho unachovijunia maishani mwako?
Kwenye hoja ya huu uzi.Haya umeyatoa wapi?
Sawa ngoja tuone mwisho wakeWakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
Magu alikuwa na akili tofauti na huyu Iddi Amini MamaUmeandika vizuri, kweli Rais wetu anajirahisi sana, huyo kibwengo alitakiwa ameshashughulikiwa. Huyu IGP naye ni goigoi au anamhujumu Rais. We ujibizane na mtu km Magu? Au mamlaka ya Rais yamepunguzwa? Kwa mtindo huo atamaliza miaka 5 kweli? Sipendi Rais dhaifu anayeweza kuchezewa km wanavyotaka kwa tiketi ya ustaarabu.
Dah! Mpaka muda huu GwajiBoy anaongoza goli 3, halafu Chura Kiziwi 0. Mbaya zaidi mchezo ndiyo kwanza uko dakika ya 10 tu tangu ulipoanza.Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
Hayo ni mambo yake binafsini kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
Sasa kama Rais mwenyewe anajibizana huko na kuchamba na kuimba taarab unataka wananchi tufanyaje, tunaimba kiitikioKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Ila kiprotokali rais kuteka watu ni vizuri.Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Unafahamu role take katika uhuni inthe last regime?Kwahiyo hujui hata hoja ni ipi? Nini?
Hoja ni Gwajima amesema kuwe na utaratibu hata ukitekwa wewe, kaka yako, Mama yako kuwe na mifumo ya haki, kuhakikisha unatendewa haki. Utaratibu, katiba ifuatwe.
Well, what last regime? Ndio sababu mpo madarakani leo kwa sababu ya kazi nzuri ya last regime. Maji, umeme, haki, barabara, hospitali, vituo vya afya, reli, madaraja, mwamba JPM alisimamia.Unafahamu role take katika uhuni inthe last regime?
Sitetei uhuni wowote ule na hasa uuaji, utekaji na ufisadi
But does he have the more authority to condemn?
Mtakatishaji? So you know how many people die per year Tanzania due to drugs related issues vs the 83 who disappeared in the past four years of pf which may be 50% hatujui sababu?
When is our highe?
Do we care about society or just politics?
Nimeipenda hii Gwajimanization... Kwamba ccm hawataki na hawapendi ukweli na wasemaji ukweliKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah