Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Nchi hii ukitaka kuonekana mbaya we ongea ukweli
Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
Protokali ni utapeli tu.Nafikiri ameambatanisha neno "kiprotokali".
Anapigwa tu, hamna proto kali wala proto pole.Kiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Atakaposhughulikiwa wewe kenge una uwezo wowote wa kumsaidia?Yuko sahihi
Anakukojolea kinywani, bado unalilia 'protokali! Watu wengine sijui wameumbwa vipi?
Kwahiyo wewe hunyandui!? Au unanyanduliwa!?ni kweli jasiri askofu mzima unanyandua na unarekodi video ya kunyandua
Kwa hiyo afanye anavyotaka Kisha yeye ni Rais , watu wanazidi kuumia kila siku , na umaskini wa kupindukia unawakabili wananchiKiprotokali sio vizuri kujibizana na Rais. Ila Rais mwenyewe sasa daaah
Hero wako ni nani? Samia?You don’t know me
But we both know gwajiboy…. Yule aliyeasisi kuunda taifa la wasukuma Tanzania, aliyemlaghai magu for his own benefit, aliyetumika kutakasa
Tafuta hero mwingine
Anajichochea kuni ili aungue vizuri.Wakuu,
Anaandika Askofu Gwajima masaaa kadhaa baada ya Rais Samia kumpa vitasa hadharani.
Nyie huyu baba ana ujasiri!
"Gwajimanization ni ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli, haijalishi ukweli huo ni mchungu au hauwapendezi walioko madarakani. Ni dhamira thabiti ya kutetea maslahi ya Taifa kuliko maslahi binafsi na ni kuinua sauti kwa uthubutu mkubwa bila kuyumba kiasi cha kuisababisha ivume ndani ya himaya za mamlaka na kutikisa misingi ya ufisadi na dhuluma"
View attachment 3351939
"
"Uislam" unahusika vipi hapo, kama siyo wewe unayetaka kuuingiza kwa sababu zako uzijuazo.labda muislamu huyo …
Hero wako ni nani, Samia? Unamtetea kwa sababu ya sera zake, au pesa, cheo, mamlaka aliyokupa kuwapiga, kuwatesa kwa pesa.You don’t know me
But we both know gwajiboy…. Yule aliyeasisi kuunda taifa la wasukuma Tanzania, aliyemlaghai magu for his own benefit, aliyetumika kutakasa
Tafuta hero mwingine
Giza na Nuru havibishani na kushindana, Gwajima mnamchongea kichwa yake inajaa kwa sifa anazopewa na soon jina lake litasahaulika.UJASIRI ALIO NAO MTUMISHI JOSEPHAT GWAJIMA HAUTOKANI NA CHOCHOTE, ZAIDI YA ROHO WA MUNGU NDANI YAKE!
nchi ilipofikia tunawahitaji Gwajima wengi sana kulinusuru taifa!
shetani huwa anakemewa, sio kubembelezwa!
akili matakoKwahiyo wewe hunyandui!? Au unanyanduliwa!?