Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Ni hotuba maalumu ya Bishop Gwajima kwenye siku ya ufunguzi wa ukumbi wa ibada uliopo maeneo ya Ubungo, Dar es Salaam.
Askofu Gwajima amesema "aliyewapeleka mahabusu waumini wa kanisa hilo amewafundisha vita na wametoka hawaogopi washawasha wala mabomu ya machozi bali wanamuogopa Mungu auaye mwili na roho. Lakini pia akaongezea kuwa hakuna nguvu ya kisiasa iliyoweza kuzuia kanisa la Yesu Kristo.
Askofu Gwajima ameyasema hayo Oktoba 16, 2026 jijini Dar es Salaam mbele ya maelfu ya waumini wake wakati akizindua jengo jipya la Kanisa hilo aliloliita Hekalu baada ya kukamilika kwa ujenzi wake uliochukua zaidi ya miaka mitatu.
Soma pia: Askofu Gwajima: Baba yangu aliniambia "watakuua" nikamwambia hafi mtu hapa