Askofu Gwajima akamilisha ujenzi wa kanisa lake, asema nguvu ya kisiasa haitalizuia

Askofu Gwajima akamilisha ujenzi wa kanisa lake, asema nguvu ya kisiasa haitalizuia

Nilidhani amekamilisha ujenzi wa kiwanda cha kusindika matunda fulani fresh kutoka shambani, kumbe kamaliza ujenzi wa kanisa. Waafrika nadhani kuna sehemu tulilaaniwa na mungu si kwa ujinga huu tulionao wallah tena. Tuko wajinga sana, mie sishangai wazungu wakituita manyani maana kiwango cha akili zetu hatuzidiani na nyani.
Kama mbio za mwenge na kodi za wananchi
 
Back
Top Bottom