Askofu Gwajima alikuwa Mwanamkakati wa Lowassa na Magufuli

Mfano Gwajima akienda Chaumma, akawa na mjadala na Samia. Kukiwa na uchaguzi huru, wa uwazi, wa haki. Gwajima anashinda.

Samia hana uwezo wowote kisera, vision, uthubutu, haamini chochote, hana malengo yoyote Tanzania itakuwa wapi baada ya miaka mitano, kumi.

Yeye anafikiri urais ilikuwa kutanua kusafiri hovyo, shopping, kuuza rasilimali zote za nchi hovyohovyo. Ila wazungu, East Afrika wamempiga pini. Atazurura uarabuni, China kuanzia sasa.
 
Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.

Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k

Tusimchukulie poa poa
usiwasanue, acha wamchukulie poa wakaanguke vizuri. Muda wa anguko ukifika UMEFIKA.

wapigweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
 
Gwajima ndo kete kubwa wanayoweza itumia CDM Kwa sasa
 
Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.

Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k

Tusimchukulie poa poa
samahani mkuu, unaweza uukaniambia gwajima anaelimu gani?
 
Wale ambao sio Chaguo la mama mjitafakari mtakatwa sana. You better quiet the game before hujakatwa
 
Kwani Gwajima alishinda adi akatwe uyu alibebwa tu na JPM RIP !!!

sasa ana nafasi yoyote ndani ya CCM kwamaana pia akuwa nafafasi yoyote apo mwanzo !!!

mbaya zaid alikuwa Bubu Bungeni kikawaida CCM aiwezi kukubeba ikubebe ukafanye nini Bungeni !!!

Gwajima akiwa nje ya Bunge ndio anaongea sana lkn akiwa Bungeni atumsikii tatizo sijui lipo wapi !!!!

lkn kitendo anachofanya kwasasa Gwajina ni kutafuta kusikika tu sioni kwann anataka tena Ubunge ambao autendei Haki !!!!!!

Lengo lake kupitia upinzani ili agombee Ubunge,
 
Mfano Gwajima akienda Chaumma, akawa na mjadala na Samia. Kukiwa na uchaguzi huru, wa uwazi, wa haki. Gwajima anashinda.

Samia hana uwezo wowote kisera, vision, uthubutu, haamini chochote, hana malengo yoyote Tanzania itakuwa wapi baada ya miaka mitano, kumi.

Yeye anafikiri urais ilikuwa kutanua kusafiri hovyo, shopping, kuuza rasilimali zote za nchi hovyohovyo. Ila wazungu, East Afrika wamempiga pini. Atazurura uarabuni, China kuanzia sasa.
Ushawishi wa mgombea bila chama chenye ushawishi kwa wananchi kazi bure, kwamba aende chauma na ashinde
 
Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.

Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k

Tusimchukulie poa poa
Dkt Samia kadanganywa, Gwajima ni dude kama dude, ongeza pia ana Mungu. Ni dhahili Dkt Samia rais wetu na Mwenyekiti wangu wa Chama Cha Mapinduzi hakika kapotoka mno kwa kauli yake yenye dhihaka kwa waliopoteza ndugu zao. It was very simple ku respond kwa kutoa matumaini badala ya kutushia kumuua Gwajima na wale wote wanaoshauri kuhusu mienendo ya serikali. Sijui ila kuna kitu kitaenda tokea naona maana Mungu wa kweli huwa hadhihakiwi!
 
Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.

Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k

Tusimchukulie poa poa
Alimalizia Buswelu Sekondari ile ya Wakulima kule Ilemela akiwa na Division Four ya mwisho mwisho ila ni Msomi!
 
Back
Top Bottom