Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Never...Asilimia kubwa ya Wananchi wanaangalia kama sera zako na rekodi yako itatatua matatizo yao ya msingi kama ajira, elimu,afya, usalama wao namali zao,kulinda rasilimali za nchi.
Uchaguzi ukiwa huru, wazi, haki mwenye sera nzuri na uwezo, CV nzuri, mwenye uwezo wa kuzielezea 90% atashinda uchaguzi popote duniani.
Samia anaweza kushinda uchaguzi hata wa kijiji ukiondoa serikali nyuma yake, ukiondoa kila kitu wapambe, magari, askari, usalama, majukwaa abaki yeye kama yeye na microphone ashindane na hata Gwajima?
Unawaona wananchi tofauti na ninavyowaona.
Naheshimu maoni yako.