Askofu Gwajima alikuwa Mwanamkakati wa Lowassa na Magufuli

Gwajima kawataja wahusika wa utekaji na idadi ya waliotekwa hii si habari nzuri kwa Watekaji na wala hautasikia kelele yeyote kutoka kwenye nyumba ya watekaji maana taarifa zaidi ya watejaji anazo mzala watu wanakufa harafu mpo busy kumshambulia anaetoa taarifa za watu wasiendelee kuuawa aisee baada ya kuwa pamoja na mzala..
 
Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.

Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k

Tusimchukulie poa poab
Benson,

This is África, This is Tz

Ni either unasahau nguvu na mamlaka aliyonayo Rais (dola plus chama)
Au unajaribu kutishia ilhali uhalisia unaujua

Dola imefanikiwa kuiyumbisha taasisi imara ya Chadema, na tumeyumba kiukweli ukweli
Sembuse mtu mmoja tu Gwajima, ambae anaishi na kufanya shughuli zake za maombezi kwa huruma tu tena kwenye eneo la Serikali, eneo la chama

Gwajima ni opportunist tu, alimdandia Lowassa kwasbb aliona upepo wa kipindi kile ulikuwa unavumia kwake, Lowassa alipopigwa chini CCM
Akarukia kwa Magufuli

Hana nguvu, ushawishi wala koneksheni yoyote nzito ndani ya Chama (dola) zaidi ya ile misukule yake ya pale Tanganyika Packers
 
Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.

Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k

Tusimchukulie poa poa
Ccm na mwenyekiti wake hawamtaki tena Gwajima.
 
Umemaliza mkuu,asicheze na dola
 
Mfano Gwajima akienda Chaumma, akawa na mjadala na Samia. Kukiwa na uchaguzi huru, wa uwazi, wa haki. Gwajima anashinda.

Samia hana uwezo wowote kisera, vision, uthubutu, haamini chochote, hana malengo yoyote Tanzania itakuwa wapi baada ya miaka mitano, kumi.

Yeye anafikiri urais ilikuwa kutanua kusafiri hovyo, shopping, kuuza rasilimali zote za nchi hovyohovyo. Ila wazungu, East Afrika wamempiga pini. Atazurura uarabuni, China kuanzia sasa.
Samia akigombea na Rose Mayemba, Rose atashinda kwa kura nyingi. Tatizo ni uchaguzi huru tu.
 
CCM wote huwa hawana maono, dira wala mwelekeo kwa maslahi ya nchi...

Wao wapo huko kwa manufaa binafsi na ndio maana unaona washabiki wao waliojazana huko ni wasanii ambao wanaunga chama juhudi ili kupata tu upendeleo kwenye mambo yao...
 
A
Dkt Samia kadanganywa, Gwajima ni dude kama dude, ongeza pia ana Mungu. Ni dhahili Dkt Samia rais wetu na Mwenyekiti wangu wa Chama Cha Mapinduzi hakika kapotoka mno kwa kauli yake yenye dhihaka kwa waliopoteza ndugu zao. It was very simple ku respond kwa kutoa matumaini badala ya kutushia kumuua Gwajima na wale wote wanaoshauri kuhusu mienendo ya serikali. Sijui ila kuna kitu kitaenda tokea naona maana Mungu wa kweli huwa hadhihakiwi!
[/QUOTE
GWAJIMA ALISEMA KUWA ANA MUNGU, ANA PESA, ANA ELIMU, ANA UMAARUFU..NADHANI HII KAULI KWA WENYE JICHO WANAIJUA MAANA YAKE
 
samahani mkuu, unaweza uukaniambia gwajima anaelimu gani?
Ilionyeshwa kwenye tovuti ya bunge kabla hawajazifuta cv za wabunge baada ya Wakenya ku publicize ya mbunge wa hovyo.
 
Attachments

  • 20250530_052042.jpg
    20250530_052042.jpg
    154.5 KB · Views: 13
Umeharibu sana kuwashitua .....ungewaacha waendelee kumchukulia poa poa AWAMALIZE
 
Samia akigombea na Rose Mayemba, Rose atashinda kwa kura nyingi. Tatizo ni uchaguzi huru tu.

Kabisa, hana record nzuri ya kuitetea, hakuna cha maana alichokifanya, kasi za ujenzi miundombinu imepungua, hana uwezo mzuri wa kujieleza, hana uchungu na rasilimali za taifa zaidi.

Uchungu wake upo kungangania kiti kwa maslahi binafsi, hajali hoja za Watanganyika, au kundi wanaomshauri vizuri. Anawaona ni maadui.
 
Mfano Gwajima akienda Chaumma, akawa na mjadala na Samia. Kukiwa na uchaguzi huru, wa uwazi, wa haki. Gwajima anashinda.

Samia hana uwezo wowote kisera, vision, uthubutu, haamini chochote, hana malengo yoyote Tanzania itakuwa wapi baada ya miaka mitano, kumi.

Yeye anafikiri urais ilikuwa kutanua kusafiri hovyo, shopping, kuuza rasilimali zote za nchi hovyohovyo. Ila wazungu, East Afrika wamempiga pini. Atazurura uarabuni, China kuanzia sasa.
Huwa nasoma hiyo Aya ya kwanza kwa wanaJF nashangaa saana.

Kushinda mjadala sio ticket ya kuushinda uchaguzi mkuu.

Siasa ni Sanaa ni sayansi.....mfano mdogo hivi Lowassa kwenye mahojiano au majukwaa ya siasa alikuwa anasema nini? Alikuwa hasikiki wala kueleweka.

Ila angalia umati aliokusanya 2015.

Mfano mwingine : Uchaguzi wa Governor wa Nairobi kila mtu alijua Miguna Wa Miguna alikuwa anaenda kushinda. Well spoken and well articulate....Ila Sonko ambaye alikuwa hawezi kutengeneza hata sentensi ya kimombo akashinda.

Uchaguzi sio midahalo....huu sio uchaguzi wa class monitor au head boy .....there are a lot of dynamics. Natamani hii comment ingekuwa uzi.
 
Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.

Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k

Tusimchukulie poa poa
Mimi simpendi Gwajima lakini alichokisema kina mashiko
 
Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.

Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k

Tusimchukulie poa poa
Akitusumbua tutamteka na kumuua kama sokoine
 
Magufuli alienda kuchukua fomu bila kuchangiwa usitake kupotosha vijana
 
CCM wote huwa hawana maono, dira wala mwelekeo kwa maslahi ya nchi...

Wao wapo huko kwa manufaa binafsi na ndio maana unaona washabiki wao waliojazana huko ni wasanii ambao wanaunga chama juhudi ili kupata tu upendeleo kwenye mambo yao...
Wapo kama Warioba, Shivji, Butiku, Mpina, nk, wengi zaidi
wanaogopa kuongea, sababu watatafutiwa kesi, kufukuzwa kazi, kutengwa, kudhalilishwa.

Hiki chama hakijui hata kwanini kilianzishwa kama TANU na baadaye chama cha mapinduzi (CCM).

Mapinduzi waliyoyaka ukisoma katiba ya CCM ni ya kiuchumi, kifikra, ustawi wa watu wote hasa wa chini kama wakulima na wafanyakazi, kuondoa matabaka.

Wao wameibadilisha CCM kuwa chama cha Mafisadi. Malengo, vipaumbele vyake ni kumlinda Rais hata kama anauza nchi.

Wamewekeza kwa machawa, wasiojulikana ili kumlinda Rais hata kama Rais ni kichaa, hana uwezo, kilaza. Uwezo wake ni kama housegirl akabidhiwe kuongoza nchi kama Tanzania.
 
Huwa nasoma hiyo Aya ya kwanza kwa wanaJF nashangaa saana.

Kushinda mjadala sio ticket ya kuushinda uchaguzi mkuu.

Siasa ni Sanaa ni sayansi.....mfano mdogo hivi Lowassa kwenye mahojiano au majukwaa ya siasa alikuwa anasema nini? Alikuwa hasikiki wala kueleweka.

Ila angalia umati aliokusanya 2015.

Mfano mwingine : Uchaguzi wa Governor wa Nairobi kila mtu alijua Miguna Wa Miguna alikuwa anaenda kushinda. Well spoken and well articulate....Ila Sonko ambaye alikuwa hawezi kutengeneza hata sentensi ya kimombo akashinda.

Uchaguzi sio midahalo....huu sio uchaguzi wa class monitor au head boy .....there are a lot of dynamics. Natamani hii comment ingekuwa uzi.
Wewe unafikiri uchaguzi ni nini?

Uchaguzi ni ilani, unaomba nafasi kati ya Watanzania wote uchaguliwe wewe kusimamia kila kitu kwa niaba yao.

Unaweka CV yako, kusema nini umefanya, uadilifu wako, uzalendo wako, uwezo wako kutawala, kusimamia haki za Watanzania, kusimamia, pesa, rasilimali za Watanzania.

Kuhakikisha ustawi wa kila mtanzania, kulindwa kwa haki za kila Mtanzania.

Samia amekiuka hata kampeni CCM amejipitisha kwa kuvunja kanuni, taratibu zote.

Amebaka na kulawiti kifasihi utamaduni wa CCM, wana CCM wote, na sasa hivi ameamua kiuhalisia kuwabaka, kulawiti, kuwafunga, kuwatenga na kuwatesa mwananchi yoyote anayeshauri, kutetea rasilimali za Tanganyika, au kuomba haki itendeke.
 
Ilani ni kimoja ila kuchaguliwa na watu ni mambo mengi Mzee.

Familia siasa za nchi nyingi utashangazwa na tabia ya upigaji kura wa binadamu.

Upigaji kura unaathiriwa na mambo mengi saana. Umaarufu wa mwanasiasa, mvuto wa mwanasiasa, rangi yake ya ngozi, elimu yake, uongeaji wake, jinsia yake, mchakato wa uhesabuji kura...vyote hivi vitaathiri wewe kupigiwa kura au la.....Mahalo ni kimojawapo ila sio kikuu.
 
Asilimia kubwa ya Wananchi wanaangalia kama sera zako na rekodi yako itatatua matatizo yao ya msingi kama ajira, elimu,afya, usalama wao na mali zao,kulinda rasilimali za nchi.

Uchaguzi ukiwa huru, wazi, haki mwenye sera nzuri na uwezo, CV nzuri, mwenye uwezo wa kuzielezea 90% atashinda uchaguzi popote duniani.

Samia hawezi kushinda uchaguzi hata uchaguzi wa kijiji ukiondoa mbwebwe, .mazagazaga, serikali, dola nyuma yake, ukiondoa kila kitu wapambe, magari, askari, usalama, majukwaa abaki yeye kama yeye na microphone ashindane na hata Gwajima?
 
Back
Top Bottom