Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
KWA HYO TUMSIKITIKIE GWAJIBOY?Inasikitisha sana
Siasa ni akili, naamini gwajiboy hili hajalifanya kwa bahati mbaya.KWA HYO TUMSIKITIKIE GWAJIBOY?
usiwasanue, acha wamchukulie poa wakaanguke vizuri. Muda wa anguko ukifika UMEFIKA.Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.
Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k
Tusimchukulie poa poa
samahani mkuu, unaweza uukaniambia gwajima anaelimu gani?Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.
Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k
Tusimchukulie poa poa
Kwani Gwajima alishinda adi akatwe uyu alibebwa tu na JPM RIP !!!Wale ambao sio Chaguo la mama mjitafakari mtakatwa sana. You better quiet the game before hujakatwa
Ushawishi wa mgombea bila chama chenye ushawishi kwa wananchi kazi bure, kwamba aende chauma na ashindeMfano Gwajima akienda Chaumma, akawa na mjadala na Samia. Kukiwa na uchaguzi huru, wa uwazi, wa haki. Gwajima anashinda.
Samia hana uwezo wowote kisera, vision, uthubutu, haamini chochote, hana malengo yoyote Tanzania itakuwa wapi baada ya miaka mitano, kumi.
Yeye anafikiri urais ilikuwa kutanua kusafiri hovyo, shopping, kuuza rasilimali zote za nchi hovyohovyo. Ila wazungu, East Afrika wamempiga pini. Atazurura uarabuni, China kuanzia sasa.
Maalum Seif alikikuza ACT Zanzibar. ACT ilikuwa haina ushawishi wowote Zanzibar.Ushawishi wa mgombea bila chama chenye ushawishi kwa wananchi kazi bure, kwamba aende chauma na ashinde
Dkt Samia kadanganywa, Gwajima ni dude kama dude, ongeza pia ana Mungu. Ni dhahili Dkt Samia rais wetu na Mwenyekiti wangu wa Chama Cha Mapinduzi hakika kapotoka mno kwa kauli yake yenye dhihaka kwa waliopoteza ndugu zao. It was very simple ku respond kwa kutoa matumaini badala ya kutushia kumuua Gwajima na wale wote wanaoshauri kuhusu mienendo ya serikali. Sijui ila kuna kitu kitaenda tokea naona maana Mungu wa kweli huwa hadhihakiwi!Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.
Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k
Tusimchukulie poa poa
Alimalizia Buswelu Sekondari ile ya Wakulima kule Ilemela akiwa na Division Four ya mwisho mwisho ila ni Msomi!Kumchukulia kiwepesi Askofu Gwajima ni kujipumbaza tu.
Amekuwa viti vya mbele kwenye safari ya matumaini na hapa kazi tu. Ana elimu, watu, connection, uchumi, marafiki wengi n.k
Tusimchukulie poa poa