Hata kama ungekuwa chini ya miaka 65, hata kama watoto wako wangekuwa na hali mbaya, bado haihalarishi wewe kuiba, mwizi ni mwizi tu.Una miaka 65
Upo well financial
Una kila kitu kizuri material things
Watoto wako wapo secured
Ila unawaza kuiba je unaiba ili hizo pesa ukazitumie wapi na lini wakati muda uliobaki hapa duniani sio mkubwa wa kuishi .
Kwanini usifikirie kuacha legacy ,
Ubinafsi ni mbaya Sana .
Ndio Hawa kina Tlaahtlaah na MwashambwaNi spinning strategy mkuu! Sio kwamba hawajui wanatumwa na wanapewa sentensi kabisa za kupost kuwachanganya wananchi wapoteze focus! Ila kwa sasa umma unaendelea kupata ufahamu kila siku muda unafika hata mawe yataongea!
FactHata kama ungekuwa chini ya miaka 65, hata kama watoto wako wangekuwa na hali mbaya, bado haihalarishi wewe kuiba, mwizi ni mwizi tu.
Hii Tanzania ni nchi iliyokosa misingi tangu kwenye level ya familia, ndio maana kila mtu akiingia serikalini anawaza kuiba tu, kijana anaenda chuo huku akiwaza kuchagua kozi zenye mifereji ya wizi, akipata kazi unategemea nini? halafu wanajisifu eti "sikuzaliwa kufa maskini", bila kujua yeye ni fukara ndani yake lakini nje ana hela za wizi.
We jamaa badala ya kujadili hoja unahangaikia lugha!Kwa akili yako unadhani hadi ujue ni lazima uende darasani!?
Hicho alichoandika ni kilatoni sio kiingereza ni misingi ya kisheria kwamba factum probandum ni ukweli kuhusu jambo fulani ovu na factum probands ni ushahidi juu ya uovu uliofanywaLengo lako la kuandika kingereza ni nini?
Sisi akina mwajuma ndala ndefu tutaelewaje???
Hakika na kweli,Angalia,jinsi vijana wanavyojinasibu na Kazi za kipato Cha Kuiba,eti TRA,Bandari,Uhamiaji mipakani,Uhasibu kwenye mashirika ndiko wakutakao ili waibe!Hata kama ungekuwa chini ya miaka 65, hata kama watoto wako wangekuwa na hali mbaya, bado haihalarishi wewe kuiba, mwizi ni mwizi tu.
Hii Tanzania ni nchi iliyokosa misingi tangu kwenye level ya familia, ndio maana kila mtu akiingia serikalini anawaza kuiba tu, kijana anaenda chuo huku akiwaza kuchagua kozi zenye mifereji ya wizi, akipata kazi unategemea nini? halafu wanajisifu eti "sikuzaliwa kufa maskini", bila kujua yeye ni fukara ndani yake lakini nje ana hela za wizi.
MtihaniLengo lako la kuandika kingereza ni nini?
Sisi akina mwajuma ndala ndefu tutaelewaje???
An excellent observation! Huo ndio ukweli! Likitokea la kutokea, these people are to fce what happened in Liberia 1980!Kwa kifupi Samia na Mchengerwa wametengeneza “Mafia” nje ya System.
Samia ndiyo anasimamia system kwa kuteua na kufukuza. Mtekelezaji wa mpango wa kuteka na kuua Mchengerwa. Matamko anayotoa Mchengerwa yanamtisha kila mkuu aliyepo toka Mkoa hadi mtaani.
asante sana!With Google assistance...
- Factum Probandum:
This is the main fact or proposition that the party is trying to establish, the issue at the heart of the case. It's the "what" that needs to be proven. For example, in a murder trial, the factum probandum would be the fact of the murder itself.
- Factum Probans:
These are the pieces of evidence or facts that are used to prove the factum probandum. They are the "how" or the "evidence" that supports the main claim. In the murder trial example, factum probans could include the weapon used, witness testimony, or a medical certificate, all of which are evidence that helps prove the factum probandum (the murder).
kuna maneno hayako kwenye Kiswahili and swahili translation will not give the exact meaning as can be discerned in English.Lengo lako la kuandika kingereza ni nini?
Sisi akina mwajuma ndala ndefu tutaelewaje???
very good! very good! asante sanaHicho alichoandika ni kilatoni sio kiingereza ni misingi ya kisheria kwamba factum probandum ni ukweli kuhusu jambo fulani ovu na factum probands ni ushahidi juu ya uovu uliofanywa
Mambo ya trab na trat( probandum na factum)IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu!
Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki.
He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS
HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA anasema kuna CARTEL ambayo ndiyo inayoongoza nchi. Rais anawasikiliza hao kuliko anybody else! Kuna clip inaonesha samia amezungukwa na CARTEL YA Abdul, Bashite, IGP, Waziri (Katibu wa Rais), mchengelwa, wanu kuwa hawa ndio CARTEL inayoonogoza nchi ....
hicho sicho kiingereza weweLengo lako la kuandika kingereza ni nini?
Sisi akina mwajuma ndala ndefu tutaelewaje???
hadi afiepo ndo atajua hajuiUna miaka 65
Upo well financial
Una kila kitu kizuri material things
Watoto wako wapo secured
Ila unawaza kuiba je unaiba ili hizo pesa ukazitumie wapi na lini wakati muda uliobaki hapa duniani sio mkubwa wa kuishi .
Kwanini usifikirie kuacha legacy ,
Ubinafsi ni mbaya Sana .
Kweli kabisa mkuuUna miaka 65
Upo well financial
Una kila kitu kizuri material things
Watoto wako wapo secured
Ila unawaza kuiba je unaiba ili hizo pesa ukazitumie wapi na lini wakati muda uliobaki hapa duniani sio mkubwa wa kuishi .
Kwanini usifikirie kuacha legacy ,
Ubinafsi ni mbaya Sana .
Gwaji ametusanua, kuwa nasi wananchi tuanzishe cartel yetu tuwateke kina Abduli kama wanavyotekwa wengine! Mimi ndicho nilichoelewaMkuu hili mbona watu tunalijua siku nyingi bila hata kuambiwa? Mimi kilichonifanya nijue kuwa kuna kundi la aina hii ni jinsi watu wanavyotekwa na kupotea au kuumizwa kwa njia za kihuni kabisa. Hata kipindi cha Magufuli nako kulikuwa na kundi kama hili.