Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima amlaumu Halima Mdee kwa mafuriko ya Dar-es-Salaam siku ya leo

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima amlaumu Halima Mdee kwa mafuriko ya Dar-es-Salaam siku ya leo

Kakosa hoja huyu mzinzi. Kwani Halima ndiye alipaswa kujenga miundombinu ya barabara? Anakusanya kodi Halima?

BTW, mafuriko yametokea Kawe tu?

Haya mafuriko ya seheme ya BASIHAYA ni matokeo za sera za JIWE za kuwahujumu wananchi kwa kutopeleka miundombinu ya maendeleo sehemu ambako wabunge wake ni wa upinzani!!! Unfortunately, hajui kuwa fedha zote za serikali zinatokana na kodi za wananchi wote na sio wapiga debe wa ccm peke yao!! Rais bora asingekuwa anawabagua wananchi anaowaongoza.
 
Haya ni maeneo yapo ama below sea level au mapito ya maji kutoka milimani, hawa wote wanapigika kwa uasilia wa maeneo yenyewe, hali ya kawe beach ni mbaya sana, kwa bahati tuu ni maeneo ya mchanga. Wabunge au Rais kwa nchi zetu hizi ambazo zina scarce resources lazima wakubali kubeba lawama.
Kama shida ni geographical position. Hata resources zikitosha hawataweza ndo maana hata marekani wanapigwa vimbunga na utajili wao mkuu .
 
Gwajima ana mambo ya kisenge sana, na sisi tunamchekea chekea badala ya kumtandika makofi

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu njoo Jimbo zina la Kawe, Halima ana mlima mrefu wa kupanda.
Mashambulizi yanaongozwa na kampeni maneja wake wa zamani wa chaguzi mbili zilizo pita na maofisa wa zamani wa Chadema Kawe akiwemo mwenyekiti na katibu wa Jimbo.
 
Kama shida ni geographical position. Hata resources zikitosha hawataweza ndo maana hata marekani wanapigwa vimbunga na utajili wao mkuu .

Ni kweli kabisa. Wanasiasa wanageuza mapungufu ya muundo asili wa eneo ili wapate kupata kura. Huku wakilijua hilo.
 
Hii barabara ya chuo-makongo juu Halima kaipigia kelele sana bungeni na hadi waziri akatoa commitment kwamba ingeanza mara moja, inawezekana ilikuwa propaganda maana sera yetu siyo kupeleka maendeleo kwenye maeneo ya wapinzani.
 
Huyo Gwajima ametumia mafuriko kufanya kampeni, anamlaumu Mdee hajatengeneza miundombinu kwani Mdee ndie huwa anakusanya kodi?

Kwanini asimlaumu yule anayesema kila mara mkichagua wapinzani sitawaletea maendeleo wakati yeye ndie kiongozi wa serikali inayokusanya kodi?

Aache kuona watu wajinga, hizo kampeni feki hazimfikishi popote.
Acha kutetea ujinga, kwa miaka yote ile pesa ya mfuko wa jimbo kapeleka wapi?. Yani chadema kila mtu mchwa, sio mwenyekiti, wabunge wala madiwani wote watafunaji tu. Mkose kabisa kila kitu Oct 28 ndio iwe fundisho wapuuzi kabisa.
 
Mungu ashukuriwe kwa kutuleta Bishop. Gwajima. Hakika Kawe itafana Sana.
 
Acha kutetea ujinga, kwa miaka yote ile pesa ya mfuko wa jimbo kapeleka wapi?. Yani chadema kila mtu mchwa, sio mwenyekiti, wabunge wala madiwani wote watafunaji tu. Mkose kabisa kila kitu Oct 28 ndio iwe fundisho wapuuzi kabisa.
Kwani Halima aliwahaidi kuwa atawaletea mafurikoooo!!!! Hizi ni natural disaster, nampenda rais wangu ni msema ukweli.
 
Kakosa hoja huyu mzinzi. Kwani Halima ndiye alipaswa kujenga miundombinu ya barabara? Anakusanya kodi Halima?

BTW, mafuriko yametokea Kawe tu?
Hakupewa pesa za mfuko wa jimbo?. Sio Halima tu, wabunge wote wa chama cha Mbowe wamefanya maendeleo gani majimboni mwao?.Wabunge wa hovyo, chama cha hovyo.
 
Hapo nipo upande wa halima, kazi za barabara za ndani zimepewa Tarura ambao ndo wanabajeti hizo Sasa halima ndo anapokea hela za Kodi ya kawe na mpasema yeye ndo atengeneze Sasa hamuoni umuhimu wa serikari ya majimbo ilivyomuhimu? Na huyo Kiongozi wa Dini na siyo mtumishi wa Mungu aache chabo mwisho atachunguliaje nyumba za watu hovyo mwisho atakuna na wake za watu warembo awatamani Kama Daudi.
 
Huyo Gwajima ametumia mafuriko kufanya kampeni, anamlaumu Mdee hajatengeneza miundombinu kwani Mdee ndie huwa anakusanya kodi?

Kwanini asimlaumu yule anayesema kila mara mkichagua wapinzani sitawaletea maendeleo wakati yeye ndie kiongozi wa serikali inayokusanya kodi?

Aache kuona watu wajinga, hizo kampeni feki hazimfikishi popote.
Halmashauri zilikuwa chini ya chama gani?
 
Gwajima mnafiki hakuwa wa kiroho anawaletea maigizo wanakawe
 
Haya mafuriko ya seheme ya BASIHAYA ni matokeo za sera za JIWE za kuwahujumu wananchi kwa kutopeleka miundombinu ya maendeleo sehemu ambako wabunge wake ni wa upinzani!!! Unfortunately, hajui kuwa fedha zote za serikali zinatokana na kodi za wananchi wote na sio wapiga debe wa ccm peke yao!! Rais bora asingekuwa anawabagua wananchi anaowaongoza.
Jiwe hana adabu. Aondolewe tarehe 28/10/2020
 
Back
Top Bottom