Gwajima hajatimiza ahadi zake alizotoa wakati anaomba kura; aliahidi kukomesha mafuriko kule Tegeta lakini hajatengeneza barabara haşa ile ya kutoka Nyaishozi kwenda Nyamachabezi! Bila kuitengeneza hii barabara asahau kupata kura!"UMESHIKA KIJITI KWA MIAKA ALMOST 5,SASA JE UMELISAIDIAJE JIMBO LA KAWE"
Haya ni maajabu.
Aliahidi kuwapeleka ulaya wavuvi wa Kawe kujifunza njia bora za kuvua samaki lakini wapi!
Kuwachezesha wasichana Redy badala ya kazi haviwezi kumpatia kura hata akiomba msaada wa “ zero” brain!
Kukwangua barabara kwa magreda sio suluhisho la ubovu wa barabara kwani mwaka kesho mvua zikinyesha tatizo litanirudia!! Linahitajika suluhisho la kudumu!