Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
na Jangwani ni kwa HalimaHiyo ndio siasa, matatizo yote kama ambavyo sisi tuna mtupia Magufuli, wana Kawe matatizo yao yote yameletwa na Halima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na Jangwani ni kwa HalimaHiyo ndio siasa, matatizo yote kama ambavyo sisi tuna mtupia Magufuli, wana Kawe matatizo yao yote yameletwa na Halima.
Aibu ya kwako,leta miujiza,ya kupeleka Maendekeo kibaguzi hata ukubalike na Wana kawe,kwakuwa alikuwa ni wakutoka upinzani mliwanyima maendeleo kwakuwa hawakuwachagueni,Leo unatoka usingizini unasahau mliyoyafanya,sii kwa kawe pekee Bali kule walikochagua wapinzani.Njoo na hoja nyingine kwa Wana kawe na kwa watanzania
kumbe Kawe kuna mifugo hivi - jamani Halima Halima!!
Halafu mtu wake huyo anatoa visingizio uchwara,kwamba mpinzani wake ndio kashindwa,Watanzania site wapenda haki,kwani naamini hakuna anayependa dhulma tunaenda kuwaadhibu vikali Oct.28.Haya mafuriko ya seheme ya BASIHAYA ni matokeo za sera za JIWE za kuwahujumu wananchi kwa kutopeleka miundombinu ya maendeleo sehemu ambako wabunge wake ni wa upinzani!!! Unfortunately, hajui kuwa fedha zote za serikali zinatokana na kodi za wananchi wote na sio wapiga debe wa ccm peke yao!! Rais bora asingekuwa anawabagua wananchi anaowaongoza.
Kinondoni si ilikuwa chini ya CCM wewe mbwiga? Kwani Sitta alikuwa Meya wa Manispaa gani?Halmashauri zilikuwa chini ya chama gani?
Ila kweli watanzania tumekuwa watu flani ivi sijui tunakoelekea Ni wapi kweli mtu anaongea pumba ivi alafu watu wana msapoti dah so sad
Anawaaminisha uongo wananchi kwamba akichaguliwa yeye mafuriko ndo itakua mwisho😆😆
Ila kweli watanzania tumekuwa watu flani ivi sijui tunakoelekea Ni wapi kweli mtu anaongea pumba ivi alafu watu wana msapoti dah so sad
Mafuriko ni laana ya Gwajima kwa kumtukana Kardinal Pengo.
Amewafanya wanakawe wapumbavu halima kaleta mafurikoGwajima ana mambo ya kisenge sana, na sisi tunamchekea chekea badala ya kumtandika makofi
Sent using Jamii Forums mobile app
Gwajima hataiona bunge na kukaa mle ndani Milele sawa na malaya na wakata viuno watakavyokosa kuona ufalme wa Mungu kwa kula kondoo
Unataka kumchafulia Gwajima lakini kawe tunataka maendeleo na mabadiliko kwahiyo usituambie huu ujinga wakoTabia chafu kuchungulia ndani kwa watu tena kupitia dirishani, hao wadada wamejifunga kanga siyo ajabu zimelowa halaf yey anachungulia
Titafusilie umesema halima ameamia ccm au?