PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
kweli hata mimi hiyo sijapendezwa nayo kuchungulia madirishani tabia chafu.Tabia chafu kuchungulia ndani kwa watu tena kupitia dirishani, hao wadada wamejifunga kanga siyo ajabu zimelowa halaf yey anachungulia
Kakosa hoja huyu mzinzi. Kwani Halima ndiye alipaswa kujenga miundombinu ya barabara? Anakusanya kodi Halima?
BTW, mafuriko yametokea Kawe tu?
Kama shida ni geographical position. Hata resources zikitosha hawataweza ndo maana hata marekani wanapigwa vimbunga na utajili wao mkuu .Haya ni maeneo yapo ama below sea level au mapito ya maji kutoka milimani, hawa wote wanapigika kwa uasilia wa maeneo yenyewe, hali ya kawe beach ni mbaya sana, kwa bahati tuu ni maeneo ya mchanga. Wabunge au Rais kwa nchi zetu hizi ambazo zina scarce resources lazima wakubali kubeba lawama.
Gwajima ana mambo ya kisenge sana, na sisi tunamchekea chekea badala ya kumtandika makofi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabia ya mtu ni asili, huenda kazoeakweli hata mimi hiyo sijapendezwa nayo kuchungulia madirishani tabia chafu.
Kama shida ni geographical position. Hata resources zikitosha hawataweza ndo maana hata marekani wanapigwa vimbunga na utajili wao mkuu .
Acha kutetea ujinga, kwa miaka yote ile pesa ya mfuko wa jimbo kapeleka wapi?. Yani chadema kila mtu mchwa, sio mwenyekiti, wabunge wala madiwani wote watafunaji tu. Mkose kabisa kila kitu Oct 28 ndio iwe fundisho wapuuzi kabisa.Huyo Gwajima ametumia mafuriko kufanya kampeni, anamlaumu Mdee hajatengeneza miundombinu kwani Mdee ndie huwa anakusanya kodi?
Kwanini asimlaumu yule anayesema kila mara mkichagua wapinzani sitawaletea maendeleo wakati yeye ndie kiongozi wa serikali inayokusanya kodi?
Aache kuona watu wajinga, hizo kampeni feki hazimfikishi popote.
[emoji38][emoji3]
Kwani Halima aliwahaidi kuwa atawaletea mafurikoooo!!!! Hizi ni natural disaster, nampenda rais wangu ni msema ukweli.Acha kutetea ujinga, kwa miaka yote ile pesa ya mfuko wa jimbo kapeleka wapi?. Yani chadema kila mtu mchwa, sio mwenyekiti, wabunge wala madiwani wote watafunaji tu. Mkose kabisa kila kitu Oct 28 ndio iwe fundisho wapuuzi kabisa.
Hakupewa pesa za mfuko wa jimbo?. Sio Halima tu, wabunge wote wa chama cha Mbowe wamefanya maendeleo gani majimboni mwao?.Wabunge wa hovyo, chama cha hovyo.Kakosa hoja huyu mzinzi. Kwani Halima ndiye alipaswa kujenga miundombinu ya barabara? Anakusanya kodi Halima?
BTW, mafuriko yametokea Kawe tu?
Hahahaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halmashauri zilikuwa chini ya chama gani?Huyo Gwajima ametumia mafuriko kufanya kampeni, anamlaumu Mdee hajatengeneza miundombinu kwani Mdee ndie huwa anakusanya kodi?
Kwanini asimlaumu yule anayesema kila mara mkichagua wapinzani sitawaletea maendeleo wakati yeye ndie kiongozi wa serikali inayokusanya kodi?
Aache kuona watu wajinga, hizo kampeni feki hazimfikishi popote.
Jiwe hana adabu. Aondolewe tarehe 28/10/2020Haya mafuriko ya seheme ya BASIHAYA ni matokeo za sera za JIWE za kuwahujumu wananchi kwa kutopeleka miundombinu ya maendeleo sehemu ambako wabunge wake ni wa upinzani!!! Unfortunately, hajui kuwa fedha zote za serikali zinatokana na kodi za wananchi wote na sio wapiga debe wa ccm peke yao!! Rais bora asingekuwa anawabagua wananchi anaowaongoza.
Mkuuu nimecheka Sana [emoji23][emoji23][emoji23]huyu jamaa NI mzinzi Sana...anapenda Sana totoz[emoji23]Tabia chafu kuchungulia ndani kwa watu tena kupitia dirishani, hao wadada wamejifunga kanga siyo ajabu zimelowa halaf yey anachungulia