#COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa.

Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge
Ukisikia kupatwa kwa Doroth ndiyo huku sasa.
 
[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]mitambooo
 
Gwajima leo kawa mpole ana mwita mzee amutetee hafu Cha mkono wa baunsa kimemuumiza
 
Tz tumekuwa novel ya 'HIS EXCELLENCY THE HEAD OF STATE' Gwajima ana play character ya Prophet Akaba vizuri

Sasa ni kazi ya Mama kuchagua ata play vipi nafasi ya Colonel Musante.

Tz never bored, tuleni bisii
 
Mpaka sasa ccm wapo njia panda kuhusu gwaji boi, wanajiuliza hata wakimfukuza kwa hulka yake ataendelea kuwashambulia, inshort ccm wanapitia wakati mgumu sana kuhusu huyu bwana.
Mungu anaweza yote vs serikali inaweza yote. Kusimama kwenye Imani au kumtii mwanadamu aliyekigeugeu! Hakuna njia ya kati !!
 
Sio kila la wazungu ni baya... Angalia hapo ulipo umezungukwa na vingapi vya wazungu, na pia vingapi vya kiafrika. Tunachukua mazuri mabaya twayaacha au sio?
 
mimi siabudu kwa manabii uchwara (waliopokea imani/dini toka kwa mnaowaita mabeberu) kama nyie, Nasali chini ya mbuyu (kufuatana na imani yangu ya kiafrica), sadaka yangu ninayotoa ni pombe na chakula (nyie mnaita kutambika)
Unavyoikubali hiyo simu napo ni kukubali ubeberu... Ungetumia njia ya asili kutuletea mawazo yako pia !
 
hapaswi kupuuzwa ana hoja ya za msingi zinazohitaji majibu.hoja hujibiwa kwa hoja siyo rungu
 
Viongozi vigeugeu watatuletea balaa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…