#COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

#COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

HAHAHAHA eti Dr Gwajima NI Walu walu alishakataliwa na ukoo amegombana na kila mtu kwenye familia... hahahaha mtanange umepamba moto hahahah
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Screenshot_20210822-132318.jpg
 
Katika sakata la chanjo kipindi cha Magufuli sote tulikuepo hakuna hata kiongozi mmoja aliyesapoti chanjo wote walisapoti njia zetu za asili
kwanzia
makamu wa Rais wakati ule, aziri mkuu, spika wa bunge, mawaziri wote na wabunge wote,

so sasahv tusikomalie waziri tu na naibu waziri wote serikali nzima inapaswa kujiuziru hata Rais Samia ajiuzuru ndio tutaelewa

IMG_20210822_141205.png
IMG_20210822_141939.png
IMG_20210822_142252.png


IMG_20210822_142237.png

 
askofu gwajima anamaanisha Rais katuweka rehani kwa kuruhusu chanjo?
 
Mwambie Gwajima Samia kawaona wanafaa ndio maana amewaacha kwenye nafasi zao, kama tatizo lipo basi linaanzia kwenye mamlaka ya uteuzi, na kuhusu chanjo kuwa na madhara baada ya miaka mitano ametumia kipimo gani? kwenye maabara ipi? au ni yale maigizo yake aliyotuambia Corona haitakuja Tanzania na ikaja? huyu ni tapeli.

Zaidi, Gwajima anaonekana akiwa kwenye madhabahu yake anajisahau kama na yeye ni mwanasiasa, sijui nani alimtuma aibe zile kura, kwa kufanya vile sasa ajue anabanwa na taratibu za chama, makubaliano ya chama chake kwenye vikao halali lazima ayatii, kama hawezi asisubiri kufukuzwa, aondoke chamani abaki kanisani, kinyume na hapo ni kumdharau mwenyekiti wa chama chake, asilete unafiki wa kumpinga Dr. Gwajima na kumsifia Samia.
 
Katika sakata la chanjo kipindi cha Magufuli sote tulikuepo hakuna hata kiongozi mmoja aliyesapoti chanjo wote walisapoti njia zetu za asili
kwanzia...
Inabaki kuwa ni maoni yako tu,si mbaya
 
Mwambie Gwajima Samia kawaona wanafaa ndio maana amewaacha kwenye nafasi zao, kama tatizo lipo basi linaanzia kwenye mamlaka ya uteuzi, na kuhusu chanjo kuwa na madhara baada ya miaka mitano ametumia kipimo gani? kwenye maabara ipi? au ni yale maigizo yake aliyotuambia Corona haitakuja Tanzania na ikaja? sikuwezi kumuamini kabisa huyu mtu.
Aakofu Gwajima anamshambulia Rais Samia kupitia mlango wa nyuma
 
💉💉✔💯%💪🇹🇿👍
"Only Stupid People Don't Change Their Minds"..😷😷.. Boutros Boutros-Ghali
Former Secretary-General of the United Nations
 
Back
Top Bottom