#COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

#COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

Chanjo anayoipinga ni ya wazungu,makanisa yameletwa na wazungu,

Kwanini asiachane na kanisa aende kwenye matunguli ambayo ndiyo asili ya mtanzania na waafrika,alafu unajuta watul wazima na akili zai ambao yeye Gwajima anaowaita kondoo wamekusanyika kumsikiliza.
Huna hoja wameleta ushoga haya kuwa shoga
 
Siku hizi uchungaji sio karama ila" biashara" ni mwendo wa kupinga dili mpaka kununua ndege. Yesu mwana wa Mungu alipanda punda, wewe ni nani uwe na ndege?
Kisingizio chao punda kwa wakati ule ni sawa na ndege sasa, wanasema kama Yesu angekuja kipindi hiki basi angepanda the most luxurious ndege, hawa jamaa tapeli sana! Ila ukiangalia hata waumini wao ni watu wanaotia huruma kwa kweli
 
Yule msemaji anayedaiwa fidia..ingekuwa magu yupo.

Sijui wangefika wapi na gwajima....

Bahati mbaya sana...

Hapo ndio tutajua kama ni realy au maigizo
 
Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa.

Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge.

Updates;
Taperi huyo
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
yeye mwenyewe hana ameamua tu kusumbua watu
Hizi sio updates
Screenshot_20210822-130841.jpg
Screenshot_20210822-130805.jpg
Screenshot_20210822-130747.jpg
 
Back
Top Bottom