Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Huyo akifika mbele ya kamati tu ,napendekeza wamdunge chanjo kwanza ili akiwasimulia kondoo wake awe anaongelea uhalisia,Ila sii Kama Sasa,anawadanganya kondoo wake.Safi sana... kama kweli ndugu...yabidi tuone uwezo wao na akina mkuchika... watu huwa wakitoka huko huwa wanakuwa kimya kama Paschal Mayala...sijui huwa wanatishiwa nini huko kwenye hiyo kamati...