#COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

#COVID19 Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

matapeli bingwa duniani wanapitia ktk dini! kuna uwezekano asiongee chochote kuhusu chanjo, serikali iko makini sana!
 
Vile vile kasema kanisani leo moto utawaka naomba fire wakakae pale karibu wawahi kuzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hili banda lilivyo litawaka kama karatasi vile
IMG_20201103_153332.jpg
 
Askofu anawafundisha kondoo zake wasichanje.

Namuunga mkono askofu.
Akili ya askofu Gwaji ni sawa na wabunge na mawaziri 30 akiwemo Spika.
 
Wachungaji wawe na somo maalumu, na afaulu kwa kiwango cha juu ili kupewa uchungaji. Somo lenyewe" jinsi ya kutumia ulimi unapoongea hasa mbele ya watu ". Ikiwezekana wapige falsafa ya uhakika, uchungaji sio mchezo.
 
Uchungaji ni karama bwashee!
 
mambo haya angekuwa anayafanya Sheikh Ponda msikitini
tena siku ya ijumaa
aiseeee midifenda kase za uhaini na ugaidii zingekuwa tayari mahakamani
 
Naona yohana umeshaongoka na kuwa mfuasi wa gwajima.

Tupe update huko ufufuo na uzima mlipo kusanyika.
 
Siku hizi uchungaji sio karama ila" biashara" ni mwendo wa kupinga dili mpaka kununua ndege. Yesu mwana wa Mungu alipanda punda, wewe ni nani uwe na ndege?
 
Back
Top Bottom